Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante sana.Hongera sana Dada kwa kuongea ukweli. Inasikitisha sana, hasa ukienda huko twitter, 99% ya mazungumzo ya vijana wengi ni pumba kama sio kinyesi.
Ni mfumo mnzima wa maisha yetu ambao unaonyesha kwamba kupiga deal, kupiga domo na ufisadi ndio maisha.
Watu wahovyo katika media ndio wanaopewa nafasi na sio wale postive influential.
Kuhusu ardhi, nchi hii inaendeshwa kipumbavy sana. Kwanza tukianza kuvalue ardhi yetu na kuithamini basi tumeshakuwa matajiri.
Karibu kila mtanzania anayoo ardhi lakini bdi ni maskini.
Hatujitambui kabisa. Sehemu y viwand inakuwa viwanda na biashara etc. mashambani panakuwa dukani.
Naamini tukianza kuangalia suala la ardhi kwa ukubwa na upanda tutasolve matatiz yetu mengi.
We nae Mwehu, unazani kilimo kingekuwa kinalipa ka unavyozani wewe unazani watu wasingelima, kilimo kinataka pesa, Mazao yanataka soko, kilimo Cha kutegemea mvua ya MUNGU hakiwezi kukupa lolote, Mnamsema tu, kila kitu mnaona rahisi Kisa mnaviajira vyenu, kilimo kinataka pesa kilimo kinataka pesa narudia,we nenda kaulize bei ya mbegu ,kilimo Cha kutegemea mvua ya MUNGU haina tofauti na mtu anaechimba dhahabu Kwa kutumia njia za kienyeji kubahatisha,nenda kalaleNyerere, pamoja na matatizo yake yote alikomboa maskini kwa njia ya redistribution of resources. (ingawa angefanya kwa njia nyingine) Hakuwa na watendaji wazuri na viongozi wenzake wakati ule hawakumulewa (ni ngumu sana kumuelewa idealist na mtu mwenye vision ya miaka zaidi ya 100 ijayo).
Ninachotaka kusema kwamba yasingefanyika yale yaliyofanyika miaka hio, leo hii mwenye nacho angebaki nacho na asiyenacho asingekuwa na namna yoyote yakufanya ili na yeye awe nacho.
Pamoja na matatizo yote tuliyonayo Watanzania bado tuna uwezo wa kutafuta na kupata (social mobility). Hii ni kwa sababu rasilimali kama vile ardhi bado vipo mikononi mwa wananchi. Sisi siyo kama Kenya, Nigeria au mataifa yaliyoendelea ambapo wenye ardhi ni watu wachache sana na wanaobakia wanateseka na inabidi watafute njia nyingine ya kuingiza kipato. Ardhi ni ya thamani sana hatujui tu.
Huku Tanzania watu wengi wana ardhi za kurithi za mababu zao. Sipendi kujumlisha watu kwenye category moja lakini ukweli lazima usemwe tu. Vijana wengi wa Kitanzania na Watanzania kwa ujumla ni wavivu. Yaani wewe mtu na akili zako na nguvu zako unaondoka shambani unafuata mkumbo wa kwenda mjini eti kwa kisingizio cha kutafuta kipato. Unafika unaenda kukalisha makalio yako kibandani kwenye njia ya wapita miguu unauza dodoki. Eti na wewe unatafuta riziki. Huwezi hata kujiuliza hii shughuli ninayofanya hapa inasaidia vipi katika kuimarisha uchumi wa nchi.
Unamuacha mzee kijijini alime, wewe kijana mwenye nguvu unaenda kujikalisha mjini. Unashindwa kweli kufanya kilimo? Hapa najua majibu yenu ni kwamba kilimo ni kigumu blah blah blah nyingi. Ni hivi hakuna kitu kirahisi na kama unataka njia za mkato utaishia pabaya tu. Mpe hiyo ardhi uliyoikimbia Mnigeria au Mkenya akuoneshe. Au unyanganywe ndio utaelewa umuhimu wake?
Haya basi umelazimisha kuhamia mjini. Wakati wa Kikwete masoko ya machinga yalijengwa yakutosha ili wafanyabiashara wadogo wafanye kazi. Waliyakataa. Yaani mtu unakimbia sehemu ambayo ni rasmi ambapo ungetambulika kwenye mifumo yote ya nchi? Upo tayari kufanya biashara ambayo hata ukiumwa huwezi kuingiza kipato? Mnajua umuhimu wa kutambulika? Mnafahamu kwamba mngeweza kujikusanya na kupata mikopo ya vijana isiyo na riba halmashauri na kwenye baadhi ya mabenki?
Unakaa barabarani huna ujuzi wowote, hata kwenda VETA? Ukiingiza bando la mtandaoni ni kushinda kwenye udaku na kubeti hamna unachojifunza ili kuboresha maisha yako. Unaoa na kuolewa na unapata watoto. Unategemea kuwalisha kwa biashara za barabarani? Ukiumwa au mkitimuliwa inakuwaje? Ukizeeka utabaki kulalamika na kutamani urudishe miaka nyuma
Narudia tena hakuna kitu kirahisi lazima ujitume kimwili na kiakili. Kuwepo kwenye mifumo rasmi ni muhimu sana. Leo na kesho ukiumwa au ukifa bado biashara yako itaendelea. Watoto wako watarithi kibanda chenye uhakika. Mnafikiri familia zenye pesa (naongelea old money siyo hawa new money wanaorudi kwenye umasikini baada ya kizazi kimoja) muda wote wanapesa tu hawaishiwi? Wanaishiwa, lakini kwa sababu wanatambulika kwenye mifumo wana kopesheka na wana bima za kutosha hawawezi kuwa masikini. Uliyejikalisha hapo barabarani una hata bima ya afya?
Ninachosema hapa hakiwezi kutatua tatizo la umaskini katika jamii, umasikini ni mfumo na kinachohitajika ni jitihada za kutosha zikiongozwa na serikali kulitatua tatizo hili.
Ninachosema ni hatua mtu binafsi anazoweza kuchukua ili kuhakikisha anaboresha maisha yake yeye na ya watoto wake. Mifumo inafanya tajiri aendelee kuwa tajiri na masikini aendelee kuwa masikini. Hakikisha unakuwa katika mfumo rasmi ili uondokane na hili janga la umasikini. Tupo kwenye nchi ambayo bado matabaka kwenye jamii hayajakomaa. Huko baadaye yakikomaa utajutia kweli ujana wako na kwa nini hukutaka kuhangaika.
Na serikali nayo imelala sijui imekufa. Mipango miji ilitenga maeneo ya huduma za jamii ikiwemo masoko madogo kwenye maeneo ya makazi ya watu. Hayo maeneo yako wapi? Mliwauzia watu binafsi au?
Mwenye masikio na asikie.
Kabisaa. Watu wanalalamika hiki kigumu mara kile. Watavuna wanachopanda.Uvivu ndio hoja kuu hapa, na ni hoja yenye ukweli, waTz tunapenda slope sana!!!!
Umeandika ya maana lakin umeandika kijuaji sana na kwa kiburi
Halaf weng wanaoandikaga hiv huwa si lolote si chochote..wao ni wajuz sana wa ku preach ila wao hawatendi...yaan mnakuaga vzur kwenye kuongea lakin hata income ya maana huna..uwekezaj wako ni wakuhangaika hangaika
Or else ni mdada umeolewa bwana anakuhudumia kakupa ka mtaj ka mini supermarket hapo bas unajiona umewin maisha....
Umeongea ya maana ila presentation ya hovyo inatufanya sis ambao ni go getters tukuone una bwabwaja tu
Huko barabaran kuna watu wanatengeneza mamilion ya pesa..bakhresa anauzia ukwaju na ice cream wap...bidhaa zote unazoziona barabaran behind the scenes kuna mwamba anaingiza 500k a day..wengne had 30m a day....kuna mzee hapo kkoo ambae ni mentor wangu anaingiza karibu 10m a day kwa hzo bidhaa za barabaran hapo kkoo..kwahyo tizama maisha kwa pande nne wew binti.
NotedUmeongea vizuri, tuna mengi ya kujifunza kama taifa na kama individuals.
Inasikitisha sana mwenye nchi/raisi ndio anakuwa advocate mkubwa wa kutandaza biashara pembezoni kwa barabara. Yaani inasikitisha sana!
Utawaona huko baadae watakavyombwela utafikiri hawakujitakia wenyewe.Ni kwambie kitu Kuna mijitu mingi INAISHI BILA KUIFIKIRIA KESHO.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dahUnajua kilimo cha mkono mjinga wewe kinavo umiza ,au unalopoka umekaa kwenye kiti cha kuzunga tu ..??
Unajua hali ya kijijin ilivo ngumu mpumbavu mkubwa wewe ,mwaka mzima unalima maharage ili upate laki tatu can you imagine ,!!
Ardhi ipo ndio sasa tutalimia meno kenge wewe,umeshawaza soko lilivogumu pimbi mkubwa wewe .!
Aisee nataman nikufate hapo nikufitksvgxlnnsabndnsjnsdhxkskanbxkmkdbms
Kuddddddke umeajiriwa unajiona umeyapatia maisha kunguni mkubwa kammnmmmmmmkee
Tukuulize wewe kwanza umewekezaje? Hivi unafikiri watu hatuna akili au resources cash ndo tatizo? Tuna mawazo mazuri ila kila kitu kimezibwa kwa local personel, kwa wenye fedha wanaweza kujipanga hivi unavotaka, kila unachotaka kufanya vibali, vibali, vibali kila kitu kimeshikwa tunaona bora tu survive kwa umachinga maana pesa imekuwa mungu wetu, without it living is toughNyerere, pamoja na matatizo yake yote alikomboa maskini kwa njia ya redistribution of resources. (ingawa angefanya kwa njia nyingine) Hakuwa na watendaji wazuri na viongozi wenzake wakati ule hawakumulewa (ni ngumu sana kumuelewa idealist na mtu mwenye vision ya miaka zaidi ya 100 ijayo).
Ninachotaka kusema kwamba yasingefanyika yale yaliyofanyika miaka hio, leo hii mwenye nacho angebaki nacho na asiyenacho asingekuwa na namna yoyote yakufanya ili na yeye awe nacho.
Pamoja na matatizo yote tuliyonayo Watanzania bado tuna uwezo wa kutafuta na kupata (social mobility). Hii ni kwa sababu rasilimali kama vile ardhi bado vipo mikononi mwa wananchi. Sisi siyo kama Kenya, Nigeria au mataifa yaliyoendelea ambapo wenye ardhi ni watu wachache sana na wanaobakia wanateseka na inabidi watafute njia nyingine ya kuingiza kipato. Ardhi ni ya thamani sana hatujui tu.
Huku Tanzania watu wengi wana ardhi za kurithi za mababu zao. Sipendi kujumlisha watu kwenye category moja lakini ukweli lazima usemwe tu. Vijana wengi wa Kitanzania na Watanzania kwa ujumla ni wavivu. Yaani wewe mtu na akili zako na nguvu zako unaondoka shambani unafuata mkumbo wa kwenda mjini eti kwa kisingizio cha kutafuta kipato. Unafika unaenda kukalisha makalio yako kibandani kwenye njia ya wapita miguu unauza dodoki. Eti na wewe unatafuta riziki. Huwezi hata kujiuliza hii shughuli ninayofanya hapa inasaidia vipi katika kuimarisha uchumi wa nchi.
Unamuacha mzee kijijini alime, wewe kijana mwenye nguvu unaenda kujikalisha mjini. Unashindwa kweli kufanya kilimo? Hapa najua majibu yenu ni kwamba kilimo ni kigumu blah blah blah nyingi. Ni hivi hakuna kitu kirahisi na kama unataka njia za mkato utaishia pabaya tu. Mpe hiyo ardhi uliyoikimbia Mnigeria au Mkenya akuoneshe. Au unyanganywe ndio utaelewa umuhimu wake?
Haya basi umelazimisha kuhamia mjini. Wakati wa Kikwete masoko ya machinga yalijengwa yakutosha ili wafanyabiashara wadogo wafanye kazi. Waliyakataa. Yaani mtu unakimbia sehemu ambayo ni rasmi ambapo ungetambulika kwenye mifumo yote ya nchi? Upo tayari kufanya biashara ambayo hata ukiumwa huwezi kuingiza kipato? Mnajua umuhimu wa kutambulika? Mnafahamu kwamba mngeweza kujikusanya na kupata mikopo ya vijana isiyo na riba halmashauri na kwenye baadhi ya mabenki?
Unakaa barabarani huna ujuzi wowote, hata kwenda VETA? Ukiingiza bando la mtandaoni ni kushinda kwenye udaku na kubeti hamna unachojifunza ili kuboresha maisha yako. Unaoa na kuolewa na unapata watoto. Unategemea kuwalisha kwa biashara za barabarani? Ukiumwa au mkitimuliwa inakuwaje? Ukizeeka utabaki kulalamika na kutamani urudishe miaka nyuma
Narudia tena hakuna kitu kirahisi lazima ujitume kimwili na kiakili. Kuwepo kwenye mifumo rasmi ni muhimu sana. Leo na kesho ukiumwa au ukifa bado biashara yako itaendelea. Watoto wako watarithi kibanda chenye uhakika. Mnafikiri familia zenye pesa (naongelea old money siyo hawa new money wanaorudi kwenye umasikini baada ya kizazi kimoja) muda wote wanapesa tu hawaishiwi? Wanaishiwa, lakini kwa sababu wanatambulika kwenye mifumo wana kopesheka na wana bima za kutosha hawawezi kuwa masikini. Uliyejikalisha hapo barabarani una hata bima ya afya?
Ninachosema hapa hakiwezi kutatua tatizo la umaskini katika jamii, umasikini ni mfumo na kinachohitajika ni jitihada za kutosha zikiongozwa na serikali kulitatua tatizo hili.
Ninachosema ni hatua mtu binafsi anazoweza kuchukua ili kuhakikisha anaboresha maisha yake yeye na ya watoto wake. Mifumo inafanya tajiri aendelee kuwa tajiri na masikini aendelee kuwa masikini. Hakikisha unakuwa katika mfumo rasmi ili uondokane na hili janga la umasikini. Tupo kwenye nchi ambayo bado matabaka kwenye jamii hayajakomaa. Huko baadaye yakikomaa utajutia kweli ujana wako na kwa nini hukutaka kuhangaika.
Na serikali nayo imelala sijui imekufa. Mipango miji ilitenga maeneo ya huduma za jamii ikiwemo masoko madogo kwenye maeneo ya makazi ya watu. Hayo maeneo yako wapi? Mliwauzia watu binafsi au?
Mwenye masikio na asikie.
ni rahc kuongeaNyerere, pamoja na matatizo yake yote alikomboa maskini kwa njia ya redistribution of resources. (ingawa angefanya kwa njia nyingine) Hakuwa na watendaji wazuri na viongozi wenzake wakati ule hawakumulewa (ni ngumu sana kumuelewa idealist na mtu mwenye vision ya miaka zaidi ya 100 ijayo).

Kabisa. Ni rahisi zaidi kulima kuliko kukaa pembezoni mwa barabara, ukipoteza nguvu za ujana wako.ni rahc kuongea
Kwahiyo solution ni kupoteza nguvu za ujana wako pembezoni mwa barabara? HahahaTukuulize wewe kwanza umewekezaje? Hivi unafikiri watu hatuna akili au resources cash ndo tatizo? Tuna mawazo mazuri ila kila kitu kimezibwa kwa local personel, kwa wenye fedha wanaweza kujipanga hivi unavotaka, kila unachotaka kufanya vibali, vibali, vibali kila kitu kimeshikwa tunaona bora tu survive kwa umachinga maana pesa imekuwa mungu wetu, without it living is tough