Utakaa barabarani mpaka ufikishe miaka 90?

Hongera sana Dada kwa kuongea ukweli. Inasikitisha sana, hasa ukienda huko twitter, 99% ya mazungumzo ya vijana wengi ni pumba kama sio kinyesi.
Ni mfumo mnzima wa maisha yetu ambao unaonyesha kwamba kupiga deal, kupiga domo na ufisadi ndio maisha.
Watu wahovyo katika media ndio wanaopewa nafasi na sio wale postive influential.
Kuhusu ardhi, nchi hii inaendeshwa kipumbavy sana. Kwanza tukianza kuvalue ardhi yetu na kuithamini basi tumeshakuwa matajiri.
Karibu kila mtanzania anayoo ardhi lakini bdi ni maskini.
Hatujitambui kabisa. Sehemu y viwand inakuwa viwanda na biashara etc. mashambani panakuwa dukani.
Naamini tukianza kuangalia suala la ardhi kwa ukubwa na upanda tutasolve matatiz yetu mengi.
 
Ahsante sana.
Ni kweli ulichosema, watu wana ardhi hawataki kujishughulisha. Wanasubiria dezo.
Tutafika, ila sio leo wala kesho.
 
Kazi na Bata ha ha ha ha.


Asante Sana MJOMBA JPM kuna jamaa analima iliki miaka hii 4 anajuta kwanini alichelewa kwenye daladala.


Kwani kwao Ana ardhi ya kutosha yenye rutuba.
 
We nae Mwehu, unazani kilimo kingekuwa kinalipa ka unavyozani wewe unazani watu wasingelima, kilimo kinataka pesa, Mazao yanataka soko, kilimo Cha kutegemea mvua ya MUNGU hakiwezi kukupa lolote, Mnamsema tu, kila kitu mnaona rahisi Kisa mnaviajira vyenu, kilimo kinataka pesa kilimo kinataka pesa narudia,we nenda kaulize bei ya mbegu ,kilimo Cha kutegemea mvua ya MUNGU haina tofauti na mtu anaechimba dhahabu Kwa kutumia njia za kienyeji kubahatisha,nenda kalale
 
Ni kwambie kitu Kuna mijitu mingi INAISHI BILA KUIFIKIRIA KESHO.
 

Daaahhhh kwakweli jamaa amekukera aseee, utadhani sio Nepo wa mabinti wazuri Tz
 
Umeongea vizuri, tuna mengi ya kujifunza kama taifa na kama individuals.

Inasikitisha sana mwenye nchi/raisi ndio anakuwa advocate mkubwa wa kutandaza biashara pembezoni kwa barabara. Yaani inasikitisha sana!
Noted
 
Umeongea mengi sana kuhusu kilimo, ila umeongea kwenye Under Ceteris paribus
 
Kuliko nitupe 10m kwenye kilimo kisicho na Uhakika ni bora nite FX nitatoa mara 5 zaidi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah
 
Bado mpo barabarani? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tukuulize wewe kwanza umewekezaje? Hivi unafikiri watu hatuna akili au resources cash ndo tatizo? Tuna mawazo mazuri ila kila kitu kimezibwa kwa local personel, kwa wenye fedha wanaweza kujipanga hivi unavotaka, kila unachotaka kufanya vibali, vibali, vibali kila kitu kimeshikwa tunaona bora tu survive kwa umachinga maana pesa imekuwa mungu wetu, without it living is tough
 
ni rahc kuongea
 
Kwahiyo solution ni kupoteza nguvu za ujana wako pembezoni mwa barabara? Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…