Utakapo sifiwa kung'oa mademu kwa wingi, Siku ukiyavagaa Huwa hawatoi sifa tena ni utani mbaya na unafki wa "Pole sana Mwanetu"

Ukiwa kwenye jeneza utaskia mtu mmoja anasema niachieni nibebe..ishanitokea kama mara mbili hivi
Huku kwetu jeneza la mtu aliyekufa Kwa hilo dudu linawekewa kishikio Kwa juu ili iwe rahisi Kwa mtu mmoja kulibeba Kwa mkono mmoja kama tranka, lengo ni kuwafanya watu kuliogopa like dudu Kwa kuwaaminisha kuwa marehemu kilo zake zinashabihiana na za bua.
 
Utani sasa huoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…