Maty
JF-Expert Member
- Aug 24, 2010
- 2,167
- 727
Nshakwambia weye una kesi ya kujibu. Ile kitu unajua hujaimalizia?
nitaimalizia 2kienda ka paka jimmy kule mbugani bana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nshakwambia weye una kesi ya kujibu. Ile kitu unajua hujaimalizia?
Mi nahesabu ahadi zako kama za JK. Hivi umenionea Askofu wapi? Kipindi hiki maaskofu wako bize na wake za watu.
.....:sleepy:.....:sleepy:......What is happening here????.....:shock:..:shock:... Huyu Mchina karudi??? :welcome::welcome::welcome:
Sun CiroBabu Venue please!!!!
Hahahahaha!!:hungry::car::violin::behindsofa::bathbaby::bathbaby:😛eace::A S-heart-2::closed_2::focus:
Mi nke angu haezi kuja kuungama kwako bana. BTW mbona umenipotezea muumini wako?
aisee askofu hapo juu unatudhalilisha sisi tuliooa
:A S crown-1::A S crown-1:
hujanijulia hali kabisa mpaka nikawaza wakati wa matatizo hatuonani ati.utakuwa kwa eliza?ile kitu imeanza kupanda kwenye koo kwahiyo nitajumuika kuifaidi ila kilevi nimepigwa marufuku na dokta mpaka wiki mbili zipiteAISEE BADO?
wacha bwana!...
aisee will come at your place leo
Baba Askofu nakusalimu katika jina la Bwana! Msalimie sista gabrieli! (hebu nipe ratiba ya kitubio basi)Kwa sababu waume zao nao wako bize na wake za akina babu.... so hawa wanawake wanakuja kuungama...:hail:
Baba Askofu nakusalimu katika jina la Bwana! Msalimie sista gabrieli! (hebu nipe ratiba ya kitubio basi)
Gotcha you! ila tatizo la misez babu hachelewili kuomba na kesho aje!Aseee Meku... hebu kuja kesho jioni aisee... leo nina appointmenti na misez babu... if u know waramseying