Wewc si uitumie hiyo fursa, unangoja kila kitu ufanyiwe? Si hasha hata mkeo utafanyiwa na jirani.Ni kweli mkuu hapa nyumbani mambo mengi mno yako disorganized.
Hakuna mtu anavutiwa kwenda mahali watu hawana mfumo mzuri wa kufanya mambo yao.
Ndio maana watalii wakija ni nadra kurudi tena.
Mbona kama una makasiriko yasiyo na sababu??Wewc si uitumie hiyo fursa, unangoja kila kitu ufanyiwe? Si hasha hata mkeo utafanyiwa na jirani.
Na mimi nimekosea wapi kutoa mawazo yangu kumpa raia mwenzangu?Mbona kama una makasiriko yasiyo na sababu??
Ametoa wazo lake yeye kama Raia wa Kawaida kwenda kwa viongozi wenye dhamana, yeye amekosea wapi???
Waacheni watu waishauri serikali msiwazibe Mdomo na kuwakatisha tamaa.
Afungue ofisi ya mambo ya tour'sSi fanya wewe, unangoja "tufanye" na nani? Wazo lako wewe unataka nani afanye?
Unaona wengine wameona kuvutia watalii ni kufanya "Royal Tour", wamefanya, hawakukungoja wewe.
Tunaishia kuongeaaa tuKama umeona mipango mibovu ya Serikali kwanini usifanye mipango yako wewe ikawa mizuri? Wakenya wameona kuna fursa wameitumia, wewe unangoja nini?
Fungua ofisi ya tours uwavute wataliiBado mkuu
Hakuna watakachokusaidiaTufanye kipi cha kipekee sasa? Pendekezeni basi maana viongozi wetu wanawaza kumiliki mahoteli kila mkoa
Ndiyo maana Wakenya wanatwambia watu wa "maneno mengi". Ni ukweli, tumejaa maneno tu, vitendo hatuna.Tunaishia kuongeaaa tu
Vitendo zero
Ova
Elewa mada kwanza kamanda sio unarukia rukia tu mambo ili mradi nawe uonekane umechangia.Afungue ofisi ya mambo ya tour's
Aawavute watalii kutoka nje,au siyo
Tatizo wabongo talk talk to muchhhh
Action zerooooo
Ova