Utalii ni zaidi ya wanyama hai na mazingira mazuri kama Taifa tunapaswa kutengeneza Upekee wetu ili kuvutia watalii

Utalii ni zaidi ya wanyama hai na mazingira mazuri kama Taifa tunapaswa kutengeneza Upekee wetu ili kuvutia watalii

Ni kweli mkuu hapa nyumbani mambo mengi mno yako disorganized.

Hakuna mtu anavutiwa kwenda mahali watu hawana mfumo mzuri wa kufanya mambo yao.

Ndio maana watalii wakija ni nadra kurudi tena.
Wewc si uitumie hiyo fursa, unangoja kila kitu ufanyiwe? Si hasha hata mkeo utafanyiwa na jirani.
 
Wewc si uitumie hiyo fursa, unangoja kila kitu ufanyiwe? Si hasha hata mkeo utafanyiwa na jirani.
Mbona kama una makasiriko yasiyo na sababu??
Ametoa wazo lake yeye kama Raia wa Kawaida kwenda kwa viongozi wenye dhamana, yeye amekosea wapi???

Waacheni watu waishauri serikali msiwazibe Mdomo na kuwakatisha tamaa.
 
Na mimi nimekosea wapi kutoa mawazo yangu kumpa raia mwenzangu?

Ukweli siku zote unakuwa mchungu. Mwendekezeni tu angoje kufanyiwa. Au wewe ndiye mkewe?
 
Si fanya wewe, unangoja "tufanye" na nani? Wazo lako wewe unataka nani afanye?

Unaona wengine wameona kuvutia watalii ni kufanya "Royal Tour", wamefanya, hawakukungoja wewe.
Afungue ofisi ya mambo ya tour's
Aawavute watalii kutoka nje,au siyo

Tatizo wabongo talk talk to muchhhh
Action zerooooo

Ova
 
Bado mkuu
Fungua ofisi ya tours uwavute watalii

Mkuu

Kuna wakenya na waingereza wapo bongo washaanza kufungua ofisi
Wanatumia connection zao za watu wao nje huko wanawaleta bongo

Ova
 
Tufanye kipi cha kipekee sasa? Pendekezeni basi maana viongozi wetu wanawaza kumiliki mahoteli kila mkoa
Hakuna watakachokusaidia

Hata wakipendekeza likifanywa WATAKUJA KUPINGA.

Wengi hawatoi USHAURI Bali wanapinha kwasababu ya NJAA.
 
Afungue ofisi ya mambo ya tour's
Aawavute watalii kutoka nje,au siyo

Tatizo wabongo talk talk to muchhhh
Action zerooooo

Ova
Elewa mada kwanza kamanda sio unarukia rukia tu mambo ili mradi nawe uonekane umechangia.

Mada yangu haihusiani na level hiyo ya chini kabisa bali matendo yetu wote kiujumla namaanisha sera na mikakati ya kitaifa. Upo hapo??
 
Back
Top Bottom