Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Wote hao wataenda Rwanda kwa kina Magu.Jumla ya Simba 17 wamehamishiwa katika hifadhi ya taifa ya Burigi huko Chato ikiwa ni hatua ya kuimarisha vivutio vya utalii Kanda ya Magharibi.
Simba hao wamepokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Gaguti ambaye amewataka wananchi wa maeneo hayo wawe wakarimu wakati wa kuwapokea na kuwahudumia watalii.
Source: ITV habari!
Unajua kuna matabaka mangapi ya simba? Hao waliokuwemo humo siyo sawa na hawa wa savanna wanaolazimishwa kuhamia huko,unajua tofauti ya simba wa serengeti na wa ngorongoro? Japo ni maeneo jirani kabisa? Jifunze, uelewe,ndipo uongee.Sishabikii mbuga ila natoa taarifa kuwa Simba walikuwepo kabla ya barabara za Muleba Biharamulo na Muleba Chato kuwekwa lami. Wanaoifahamu barabara ya Muleba Biharamulo kuna mlima unaitwa mlima wa Simba.
Simba wa Teranga!Unajua kuna matabaka mangapi ya simba? Hao waliokuwemo humo siyo sawa na hawa wa savanna wanaolazimishwa kuhamia huko,unajua tofauti ya simba wa serengeti na wa ngorongoro? Japo ni maeneo jirani kabisa? Jifunze, uelewe,ndipo uongee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe destination ni Rwanda hapo wako transit tu.Trust me baada ya miezi sita nusu yake watahamia Rwanda
Jr[emoji769]
Simba wa Teranga!
Hahahaaaa........ Povu debe bwashee!Acha utoto, umeleta ushabiki wa kijinga kumbe huna lolote ujualo. Pumbavu kabisa.
Waliuawa na wafugaji kutoka Rwanda. Enzi za awamu ya 4 pori lilibadilika kuwa malisho ya mifugo ya wanyarwanda wanyama wote wakauawa wakiwemo twiga.
Siyo Geita, nafikiri ilitokea vijiji vinavyopakana na mbuga ya Serengeti mkoa wa Mara ndo wakaamua kupunguza baadhi ya familia za Simba.Hiyo habari ilikuwa kama wiki mbili au moja nyuma.
Hao Simba wamekamatiwa huko huko mkoa wa Geita kama sikosei, kuna familia mbili zilisogea sana karibu na makazi ya watu na kuweka kambi. Baadae wakaanza kuvamia mifugo na kujeruhi watu kadhaa.
Walipo ripotiwa jamaa wa hifadhi ya taifa wakaenda kuwakamata na ikaamuliwa wakishikwa wote 17 watapelekwa Chato. Na sehemu ya zoezi lenyewe la ukamataji kwenye TV ilionyeshwa na wananchi waliokuwa na wasiwasi walihojiwa.
Wamezuia uhamisho wa watumishi wa umma, wameruhusu uhamisho wa Simba!
Haki iko wapi?
Huyu ni court jester tu mkuu,usimchukulie serious sana.Acha utoto, umeleta ushabiki wa kijinga kumbe huna lolote ujualo. Pumbavu kabisa.
Inawezekana ni Mara ila kulikuwa na familia mbili kwenye habari niliyoona, mpaka maafisa wa wanyamapori wanahojiwa walikuwa washa kamata familia moja yenye Simba kumi. Wanaanza awamu ya pili ya familia nyingine yule jamaa akawa anasema inabidi wafanye ivyo kwa sababu Simba awana utamaduni wa ku socialise familia tofauti ivyo awawezi kuwaweka pamoja.Siyo Geita, nafikiri ilitokea vijiji vinavyopakana na mbuga ya Serengeti mkoa wa Mara ndo wakaamua kupunguza baadhi ya familia za Simba.
Utahamishwa mwakani kwenda Mbeya kwa Sugu!Mlima Kilimanjaro unahamishwa lini ?