Ben_de_portival
Member
- May 16, 2024
- 35
- 57
Huo uzi mbona una uongo ndani ake kwa io video umeatach
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kivipi we dogo?Huo uzi mbona una uongo ndani ake kwa io video umeatach
Video ya Iringa na watu wanaongea kizungu umo ndaniKivipi we dogo?
Sasa kizungu Iringa hawaongei? Hakuna wazungu au wahehe wanaojua kuongea kiingereza? AiseeeeeVideo ya Iringa na watu wanaongea kizungu umo ndani
Haya Bwana!U.T.I ya mgongo,😆😆😆
Hao ni kula kulala wanajua kila kitu na kirahisi.Haya Bwana!
Waache wasinzie tuu!Hao ni kula kulala wanajua kila kitu na kirahisi.
Yeah ni kuzuri sana huko mkuu.Hayo maeneo yote nayajua,hapo ruaha mbuyuni kuna wasagara sio poa,utalima ila utavuna guniamoja tu,kunachangamoto sana hapo,kwanza mto lukosi una tabia ya kuhama,wadudu waharibifu,kikubwa uchawi hatari,wanalimia dawa hapo.
Mtandika A and B pako powa,
Ilula sokoni ilula mtuwa kote huko nimevuruga japo sikumbuki kuona mto Kama ruaha mbuyuni ambako kuna mito miwili
Ni kweli ni kuzuri.Hayo maeneo yote nayajua,hapo ruaha mbuyuni kuna wasagara sio poa,utalima ila utavuna guniamoja tu,kunachangamoto sana hapo,kwanza mto lukosi una tabia ya kuhama,wadudu waharibifu,kikubwa uchawi hatari,wanalimia dawa hapo.
Mtandika A and B pako powa,
Ilula sokoni ilula mtuwa kote huko nimevuruga japo sikumbuki kuona mto Kama ruaha mbuyuni ambako kuna mito miwili
Safi Sana Kwa moyo wa kipekee mkuu,naomba kufahamu Nyanzwa yalipo hayo mashamba ya 50000 vipi mvua zipo Kwa wingi kiasi gani na zao gani linasitawi huko.?Ni kweli ni kuzuri.
Sawa sawa mkuu kama una fahamu gharama za kukodi hekari moja ni shingapi ya mpunga?Malinyi,Ulanga.
Nenda Ruaha ya Mahenge Pana mto una maji mwaka mzima wanalima mpunga hadi kiangazi mazao yote yanakubali kule
Kule ni sawa na bure pia Pana cheap labour ya kutosha kwa siku wanalipwa elf tanoSawa sawa mkuu kama una fahamu gharama za kukodi hekari moja ni shingapi ya mpunga?
Mkuu katika post Yako umeandika malinyi,ulanga halafu ruaha ya mahenge kwahy hizi ni sehemu moja na mkoa upi wilaya gani?Kule ni sawa na bure pia Pana cheap labour ya kutosha kwa siku wanalipwa elf tano
Malinyi ni wilaya,na Mahenge ni makao makuu ya wilaya ya Ulanga.Mkuu katika post Yako umeandika malinyi,ulanga halafu ruaha ya mahenge kwahy hizi ni sehemu moja na mkoa upi wilaya gani?
Asante Sana Kwa maelezo mazuri kaka,ila ingekuwa vizuri Sana kama ungenipa na bei kabisa ya kukodi mashamba ya mpunga maana mm Niko interested na kilimo hicho,if possible mwezi wa tano nivune mpunga huku Mwanza niuze nikalime huko mwezi wa sita.Malinyi ni wilaya,na Mahenge ni makao makuu ya wilaya ya Ulanga.
Kijiji cha Ruaha upatikani baada ya kupita Mahenge kama unataka kuelekea milima ya Sali hadi hifadhi ya mbuga ya Ruaha ipakanayo na mbuga ya selous Morogoro kusini kuelekea Liwale Lindi.
Pana bonde kama heka mia Tano au mia 700 nusu linamilikiwa na kanisa katoliki waasisi ni wajerumani enzi za utawala wa Wajerumani Bonde linalimwa mpunga mwka mzima maji yapo mtoni mwka mzima masika pekee mto unageuka bahari.
Hilo bonde ukichimba mita sita usawa wa shimo la choo unaanza kutana na dhahabu.
Dhahabu ilitoka kwenye safu za milima ikamwagika bondeni miaka.
Mazao unayoweza lima pale ni vitunguu, viazi mviringo vitamu, mahindi,nk.
Hali ya hewa ni joto kama la Dar but pembeni mwa bonde ni baridi kidogo usiku ni baridi sababu ya milima.
SikupingiKama haitaendelea ndo imeishia hapa na umeamua kuandika ulichokiandika ni dhahiri marekani walikuwa na mzigo mzito sana wenye less masirahi.