Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Tukajifunze huko. Tatizo lipo wapi?Kwa utaratibu huu wa kufunga shughuli za kiuchumi kwa siku 2, bado tuna safari ndefu, nchi kama Kenya na Rwanda ziwekeza sana huko.
Biashara gani imefungwa? Acha kuhemka DadaUtalii wa mikutano Huku unafunga barabara ili watu wasifanye biashara ni upuuzi kama upuuzi mwingine
Kuna tatizo kwani?Tukajifunze huko. Tatizo lipo wapi?