Utalii wa Mikutano ndio habari ya mjini!

Utalii wa Mikutano ndio habari ya mjini!

Valencia_UPV

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2016
Posts
6,974
Reaction score
8,750
1. Kama Taifa tunaelekea pazuri kwenye Utalii wa Mikutano ya Kimataifa.

2. Waziri wa Utalii na Mambo ya nje hawapaswi kulala kusaka hizi fursa za watalii wenye pesa kwa mfano hawa Energy summit waandaliwe trip ya kwenda Zanzibar, Bagamoyo, Ngorongoro.
 
Kwa utaratibu huu wa kufunga shughuli za kiuchumi kwa siku 2, bado tuna safari ndefu, nchi kama Kenya na Rwanda ziwekeza sana huko.
 
Kwa utaratibu huu wa kufunga shughuli za kiuchumi kwa siku 2, bado tuna safari ndefu, nchi kama Kenya na Rwanda ziwekeza sana huko.
Tukajifunze huko. Tatizo lipo wapi?
 
Utalii wa mikutano Huku unafunga barabara ili watu wasifanye biashara ni upuuzi kama upuuzi mwingine
 
Back
Top Bottom