Prof_Adventure_guide
JF-Expert Member
- Dec 21, 2023
- 533
- 1,499
Habari, wapendwa Watanzania!
Ningependa kuwajulisha jinsi utalii wa ndani ulivyo na raha na fursa nzuri kwa kila mmoja wetu. Kama mtaalamu wa utalii (Professional Tour Guide), Planner wa Likizo (Holiday Planner), na mmiliki wa Shirika la Utalii (Travel Agency), mimi ni tayari kukusaidia kupanga safari za ndani kwa bei nafuu kabisa, bila kubeba mzigo mzito wa gharama.
Kwa sasa, naandaa safari maalum ya Camping Safari kwenye hifadhi maarufu ya Serengeti National Park. Safari hii itakuwa na gharama nafuu kwa kila mtu, na hata unaweza kujiunga na joining group ili kupunguza gharama zaidi. Hii ni fursa nzuri kwa wale wanaotaka kuchunguza vivutio vya asili ya Tanzania kwa budget nyepesi, na kuokoa fedha kwa pamoja!
Kwa ajili ya kujua maelezo zaidi au kujipanga kwa safari hii ya kipekee, wasiliana nami kwa simu namba 0658218127. Hii ni nafasi ya kipekee kwa wale wanaotaka kufurahia utalii wa ndani kwa gharama nafuu na bila stress!
Karibun
i wote!