Utamaduni huu wa kunywa maji ya chupa nyumbani unanitesa

Haya maji ya Awsa yaliojaa chumvi ndio tuchemshe πŸ˜…
Nimewaza hapa pia, imagine hii chumvi ya maji ya Makao Makuu ambayo haishiki hata sabuni ya unga, jug ukilichemshia maji ya kuoga siku 3 tu hujaliosha unakuta chumvi imenasa chini, ndoo na majaba ndiyo usiseme,

Ndiyo uchemshe, uchuje, utie kwenye fridge kisha unywe..!!πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Upotevu wa muda kama sina kazi ya kufanya sawa
 
Kama uko Dar basi Hill Water ndo the perfect choice
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…