Utamaduni wa Watanzania kudhani masuala ya siasa hayatuhusu utatugharimu sisi na vizazi vyetu

Kenya wanna katiba mpya,kimebadilika nini!?
Wakenya wana kauli juu ya viongozi
Kiongozi alifanya madudu wananchi wanamwajibisha
Sio hapa kwetu watu wanauza bandari, Masai hawana makazi, utekaji hata waziri haguswi
 
Elimu elimu elimu elimu elimu ni Muhimu sana
 
Wakenya wana kauli juu ya viongozi
Kiongozi alifanya madudu wananchi wanamwajibisha
Sio hapa kwetu watu wanauza bandari, Masai hawana makazi, utekaji hata waziri haguswi
Unataka kuwa na kauli juu ya kiongozi,Ili iweje?
 
Ni sawa.lakini sijaona faida kubwa kwa mtu wa hali ya chini tena siyo msomi kujiunga na chama Cha siasa.
Unamchangua mbunge au diwani yeye anaenda kunemeeka wewe maskini utakufa na umaskini wako!! Unaendelea kukamliwa Kodi yeye mbunge nasikia halipi kodi.sijui ni kweli?
 
Akishaitwa kiongozi ni basi tena.labda apate ufahamu wa kimuungu.ndiyo maana tunatakiwa kuwa makini tunapochagua viongozi wetu.
Kiongozi ni mtumishi wangu
Yuko madaraka me ndo nimemweka
Asipofanya ninayoyataka, nataka katiba itupe nguvu ya kumwajibisha
 
Akishaitwa kiongozi ni basi tena.labda apate ufahamu wa kimuungu.ndiyo maana tunatakiwa kuwa makini tunapochagua viongozi wetu.
Katiba nzuri itakuwa suluhi ya haya yote na itakuwa suluhu ya mtazamo wako, mambo hayapaswi kuwa ivo kama unavodhani
 
Siasa ni kitu cha kufutwa kabisa Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…