Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Elimu elimu elimu elimu elimu ni Muhimu sanaWatanganyika wamejenga dhana ya kutohoji wala kufuatilia masuala ya kisiasa na kudhani siasa haimunufaishi.
Mtu anaona kwakuwa anakula na kuishi mambo mengine sio ya muhimu, aani kwamba Katiba mpya sio suala linalotuhisu kwakuwa unaamka asbh unapata mkate basi.
Bandari zinauzwa
Serengeti unaenda kuchimbwa madini, kwa baadae Serengeti haitakuwepo, tupo kimya, Sasa vizazi vyetu vitakuta nini? Vitatuona tulikuwa wajinga kiasi gani?
Rushwa serikalini imekuwa kubwa, mali za umma zinauzwa.
Utekaji na mauaji
Tunaona kawaida Kwa kuwa hatujatekwa au kuuliwa sisi au ndugu wa karibu
Huduma mbovu za kijamii
Shule hazina walimu na madawati. Hospital hakuna madawa, watu hawana bima. Maji hakuna, umeme wa uhakika haupo.
Bunge limekuwa kama sehemu ya kuimba mapambio. Bunge limewekwa mfukoni. Bunge la wananchi linatunga sheria za kuwakandamiza wananchi, rejea mambo ya tozo n.k. Tuko kimya tu.
Tujifunze Kenya wao wale sio makondoo kama Watanganyika
Unataka kuwa na kauli juu ya kiongozi,Ili iweje?Wakenya wana kauli juu ya viongozi
Kiongozi alifanya madudu wananchi wanamwajibisha
Sio hapa kwetu watu wanauza bandari, Masai hawana makazi, utekaji hata waziri haguswi
Ni sawa.lakini sijaona faida kubwa kwa mtu wa hali ya chini tena siyo msomi kujiunga na chama Cha siasa.Watanganyika wamejenga dhana ya kutohoji wala kufuatilia masuala ya kisiasa na kudhani siasa haimunufaishi.
Mtu anaona kwakuwa anakula na kuishi mambo mengine sio ya muhimu, aani kwamba Katiba mpya sio suala linalotuhisu kwakuwa unaamka asbh unapata mkate basi.
Bandari zinauzwa
Serengeti unaenda kuchimbwa madini, kwa baadae Serengeti haitakuwepo, tupo kimya, Sasa vizazi vyetu vitakuta nini? Vitatuona tulikuwa wajinga kiasi gani?
Rushwa serikalini imekuwa kubwa, mali za umma zinauzwa.
Utekaji na mauaji
Tunaona kawaida Kwa kuwa hatujatekwa au kuuliwa sisi au ndugu wa karibu
Huduma mbovu za kijamii
Shule hazina walimu na madawati. Hospital hakuna madawa, watu hawana bima. Maji hakuna, umeme wa uhakika haupo.
Bunge limekuwa kama sehemu ya kuimba mapambio. Bunge limewekwa mfukoni. Bunge la wananchi linatunga sheria za kuwakandamiza wananchi, rejea mambo ya tozo n.k. Tuko kimya tu.
Tujifunze Kenya wao wale sio makondoo kama Watanganyika
Kiongozi ni mtumishi wangu
Yuko madaraka me ndo nimemweka
Asipofanya ninayoyataka, nataka katiba itupe nguvu ya kumwajibisha
Katiba nzuri itakuwa suluhi ya haya yote na itakuwa suluhu ya mtazamo wako, mambo hayapaswi kuwa ivo kama unavodhaniAkishaitwa kiongozi ni basi tena.labda apate ufahamu wa kimuungu.ndiyo maana tunatakiwa kuwa makini tunapochagua viongozi wetu.
Ya 1977 ilipotungwa hiyo iliyokuwepo watu wote walishaifahamu?Watu wenyewe hata hii iliyopo hawaifahamu vyema.
Watadai vipi mpya?
Utawapa vipi mpya ??
Hizo propaganda za enzi za Mwalimu mnatuletea mpaka leo🚮🚮CCM imejenga barabara za lami, hospital,shule,vyuo...nyie mtatufanyia nini hadi mtake tuitoe CCM!?..tutawaamini vipi!?
KabisaKatiba nzuri itakuwa suluhi ya haya yote na itakuwa suluhu ya mtazamo wako, mambo hayapaswi kuwa ivo kama unavodhani
Enzi za mwalimu hakukuwa na lamiHizo propaganda za enzi za Mwalimu mnatuletea mpaka leo🚮🚮
🚮🚮Enzi za mwalimu hakukuwa na lami
Siasa ni kitu cha kufutwa kabisa TanzaniaWatanganyika wamejenga dhana ya kutohoji wala kufuatilia masuala ya kisiasa na kudhani siasa haimunufaishi.
Mtu anaona kwakuwa anakula na kuishi mambo mengine sio ya muhimu, aani kwamba Katiba mpya sio suala linalotuhisu kwakuwa unaamka asbh unapata mkate basi.
Bandari zinauzwa
Serengeti unaenda kuchimbwa madini, kwa baadae Serengeti haitakuwepo, tupo kimya, Sasa vizazi vyetu vitakuta nini? Vitatuona tulikuwa wajinga kiasi gani?
Rushwa serikalini imekuwa kubwa, mali za umma zinauzwa.
Utekaji na mauaji
Tunaona kawaida Kwa kuwa hatujatekwa au kuuliwa sisi au ndugu wa karibu
Huduma mbovu za kijamii
Shule hazina walimu na madawati. Hospital hakuna madawa, watu hawana bima. Maji hakuna, umeme wa uhakika haupo.
Bunge limekuwa kama sehemu ya kuimba mapambio. Bunge limewekwa mfukoni. Bunge la wananchi linatunga sheria za kuwakandamiza wananchi, rejea mambo ya tozo n.k. Tuko kimya tu.
Tujifunze Kenya wao wale sio makondoo kama Watanganyika
Huwezi kuiachaSiasa ni Maisha
Upuuzi mtupuSiasa ni Maisha
Huo upuuzi unaouandika humu na mawazo ya kufuta SIASA ndiyo SIASA yenyewe,mabadiliko yoyote ya kiuchumi,kiutamadani,kielimu,kijamii na kifikra ni SIASA.Upuuzi mtupu