Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,278
- 797
Tupo wengi!!Kuna kitu nimekiona ngoja ninyamaze.
Sikujua tumefikia huko.Tupo wengi!!
Tunasubiri na siku ya utambulisho wa jeshi la polisi.Sikujua tumefikia huko.
Good idea but hao watu si wa kuingiza kwenye politics kabisaIngeliwezekana Majenerali/IGP/CGP/DGIS wastaafu wakawa wa wabunge kisha kuwa wajumbe wa kudumu wa kamati ya bunge ya ulinzi na usalama
Umesoma code, so you wont be suprisedKuna kitu nimekiona ngoja ninyamaze.
Hii attachment tunaifunguaje? Kwangu haifungukiUtambulisho wa Viongozi wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Bungeni wakati wa Uwasilishwaji wa Bajeti ya mwaka wa fedha 2024/2025 ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, tarehe 20 Mei 2024.
View attachment 2995196
Vumilia sindano iingie sasa hivi ni 50 kwa 50. Lakini siyo 50 kwa 50 ile.Muosha huoshwa ujue.Kuna kitu nimekiona ngoja ninyamaze.
Wajuana wenyewe hukoNaibu spika bwana,hivi ni mkuu wa kamanda ya jeshi ya wanamaji au ni kamandi? Mbona ameridia rudia neno kamanda badala ya kamandi?
Kuna vifaru na mizinga, sare na vinywaji nk.Ulinzi wana miradi gani mpk wapewe budget kubwa hivyo kuzidi wizara za Elimu, Ujenzi na Afya? 3.3T
Ndiyo miradi yao?Kuna vifaru na mizinga, sare na vinywaji nk.
Au mnasemaje jamani