Umemuona kikwete tu? Late lowassa was TPDF soldier na sio hao tu tuna mawaziri pia, some of them walisha tangulia mbele ya haki. Hawa walitolewa kitengo cha siasa jeshini 70s to 80s lilikuwepo. Kazi yake kubwa ilikuwa ni siasa. Unfornately sikuizi hakipo tena na jeshi likawekwa mbali na politcs kisheria
By the time mimi natumikia , sheria zilibadilika, lazima uachane na jeshi moja kwa moja ndio ukagombee
Teuzi zimekuja kipindi cha jpm. Although zina limitation, sana sana rc au ukuu wa wiliaya, lakini ubunge nope na bado alikuwa akivunja sheria.
Rc na ukuu wa wilaya si vyeo vya kisiasa. Vile havi require uwe mwanasiasa kuteuliwa.
Ni vile watu wamezoea kuwa wengi wanaopewa hizo nafasi ni wana siasa