Utambulisho wa Viongozi wa Wizara ya Ulinzi na JKT Bungeni wakati wa Uwasilishwaji wa Bajeti ya mwaka wa fedha 2024/2025 ya Wizara ya Ulinzi na JKT

Good idea but hao watu si wa kuingiza kwenye politics kabisa

Kwa nini isiwezekane?
Nadhani tunahitaji politics yenye viwango vya juu vya nidhamu na utii..

Hili litaepusha Rushwa,wizi,ufisadi,Ukwapuaji Mali za Umma,Matumizi mabaya ya madaraka (Ulafi na kuvimbiwa ).
 
Ulinzi wana miradi gani mpk wapewe budget kubwa hivyo kuzidi wizara za Elimu, Ujenzi na Afya? 3.3T

Hali ya usalama Afrika mashariki na kati si nzuri sana..Uwekezaji ktk majeshi yetu ni jambo lisiloepukika kwa kuzingatia utajiri mkubwa wa rasilimali na chokochoko za maadui..

Though bado yatupasa kuwekeza sana kwenye uzalendo wa watu wetu na mifumo thabiti ya ulinzi tokea mitaa,Vijiji,Vitongoji,kata hata tarafa..
 
Uwekekeze kwenye uzalendo huku wenzako wanaiba si utakuwa mjinga asee
 
Kwa nini isiwezekane?
Nadhani tunahitaji politics yenye viwango vya juu vya nidhamu na utii..

Hili litaepusha Rushwa,wizi,ufisadi,Ukwapuaji Mali za Umma,Matumizi mabaya ya madaraka (Ulafi na kuvimbiwa ).
Kwamba wanajeshi hawana huo wizi wa kutisha ?
 
Kwani hawapo ?

Uko kwenye ukuu wa mikoa, wilaya na bodi mbalimbali wanafanya nini ?
Ninapo zungumzia politics nazungumzia vyeo vya kugombea kupigiwa kura. Once ukienda down that road basi everything about you become siasa
 
Ninapo zungumzia politics nazungumzia vyeo vya kugombea kupigiwa kura. Once ukienda down that road basi everything about you become siasa
Kwenye siasa kuna vyeo vya kuteuliwa na kugombea sio kila cheo cha siasa ni kugombea.

By the way kikwete ni JWTZ member
 
mbona mimi sijaona kitu cha ajabu? ni nini hicho mmekigundua wandugu???
 
Kwenye siasa kuna vyeo vya kuteuliwa na kugombea sio kila cheo cha siasa ni kugombea.

By the way kikwete ni JWTZ member
Umemuona kikwete tu? Late lowassa was TPDF soldier na sio hao tu tuna mawaziri pia, some of them walisha tangulia mbele ya haki. Hawa walitolewa kitengo cha siasa jeshini 70s to 80s lilikuwepo. Kazi yake kubwa ilikuwa ni siasa. Unfornately sikuizi hakipo tena na jeshi likawekwa mbali na politcs kisheria
By the time mimi natumikia , sheria zilibadilika, lazima uachane na jeshi moja kwa moja ndio ukagombee

Teuzi zimekuja kipindi cha jpm. Although zina limitation, sana sana rc au ukuu wa wiliaya, lakini ubunge nope na bado alikuwa akivunja sheria.
Rc na ukuu wa wilaya si vyeo vya kisiasa. Vile havi require uwe mwanasiasa kuteuliwa.
Ni vile watu wamezoea kuwa wengi wanaopewa hizo nafasi ni wana siasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…