Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Aiseeh! Huu ni upumbavu sijui tuna jadiliana nini hapaRc na ukuu wa wilaya si vyeo vya kisiasa. Vile havi require uwe mwanasiasa kuteuliwa.
Ni vile watu wamezoea kuwa wengi wanaopewa hizo nafasi ni wana siasa
all right then i rest my caseAiseeh! Huu ni upumbavu sijui tuna jadiliana nini hapa
Sio kweli fanya utafiti,toka enzi za jk haya mambo ya kuteua wanajeshi yalikuwepo,jpm alikuja kuongeza polisi tu.Umemuona kikwete tu? Late lowassa was TPDF soldier na sio hao tu tuna mawaziri pia, some of them walisha tangulia mbele ya haki. Hawa walitolewa kitengo cha siasa jeshini 70s to 80s lilikuwepo. Kazi yake kubwa ilikuwa ni siasa. Unfornately sikuizi hakipo tena na jeshi likawekwa mbali na politcs kisheria
By the time mimi natumikia , sheria zilibadilika, lazima uachane na jeshi moja kwa moja ndio ukagombee
Teuzi zimekuja kipindi cha jpm. Although zina limitation, sana sana rc au ukuu wa wiliaya, lakini ubunge nope na bado alikuwa akivunja sheria.
Rc na ukuu wa wilaya si vyeo vya kisiasa. Vile havi require uwe mwanasiasa kuteuliwa.
Ni vile watu wamezoea kuwa wengi wanaopewa hizo nafasi ni wana siasa
Bajeti ya Ulinzi ni muhimu kwa nchi zote duniani!Ulinzi wana miradi gani mpk wapewe budget kubwa hivyo kuzidi wizara za Elimu, Ujenzi na Afya? 3.3T
Kikwete, Lowassa Kinana, Makamba sr walitokea jeshini pia.Kwa nini isiwezekane?
Nadhani tunahitaji politics yenye viwango vya juu vya nidhamu na utii..
Hili litaepusha Rushwa,wizi,ufisadi,Ukwapuaji Mali za Umma,Matumizi mabaya ya madaraka (Ulafi na kuvimbiwa ).
Hakuna mahali nimesema siyo muhimu, shida ni budget kubwa kuliko ya Afya, Elimu na UjenziBajeti ya Ulinzi ni muhimu kwa nchi zote duniani!
Kikwete, Lowassa Kinana, Makamba sr walitokea jeshini pia.
Mambo yanabadilika, hao ndio wasomi dunia ya leo.Kuna kitu nimekiona ngoja ninyamaze.
Nchi yoyote ulinzi ni jambo la kwanza.Ulinzi wana miradi gani mpk wapewe budget kubwa hivyo kuzidi wizara za Elimu, Ujenzi na Afya? 3.3T
Hivyo vitu wavitaje vinginevyo itakuwa ni kichaka cha kupiga pesaNchi yoyote ulinzi ni jambo la kwanza.
Ili upate elimu nzuri unatakiwa kuhakikishiwa ulinzi na usalama wako.
Siri za jeshi mkuu. Sio Tz pekee bali duniani kote huwa haziwekwi hadharani.Hivyo vitu wavitaje vinginevyo itakuwa ni kichaka cha kupiga pesa
Zilipigwa pesa haswaSiri za jeshi mkuu. Sio Tz pekee bali duniani kote huwa haziwekwi hadharani.
Umewahi kusikia kitu inaitwa mkataba wa meremeta?
Rejea kwenye hoja yako sasa.Bila kusahau Hayati Brigedia Jenerali Hassan Ngwilizi,Mstaafu Kapteni Chiligati,Hayati Brigedia Jenerali Moses Mnauye,Mstaafu Simbakalia,Mstaafu Fabian Massawe,..Na wengine wengi
Huoni hata aibu! Fanyeni Biblia ndiyo iwe katiba yetu basi halafu Pengo ndiyo awe Ayatollah wetu.More than 70% kobazi
Tax kasema mpaka wa Tz na Msumbuji hauko poa kivileNchi ipo vitani?
Ndiyo utumie 3T?Tax kasema mpaka wa Tz na Msumbuji hauko poa kivile
Uwekekeze kwenye uzalendo huku wenzako wanaiba si utakuwa mjinga asee
Tabia za CCM mkuuWizi na ufisadi uzaa laana nzito kwa vizazi na vizazi ni sawa na dhuluma
Sababu ya ufisadi wa wakosa uzalendo umaskini umetamalaki,Watu wanakosa matibabu,Ajira,Malipo stahiki,Wakina mama wanakufa wanapojifungua kwa kukosa huduma bora (Serikali imejitahidi sana kuboresha huduma)..