Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kozi nyingine hata major ikiwa ni uhasibu au fedha, wanasoma pia masuala ya sheria (business law), masoko (marketing), uchumi (economics), utawala (business administration) n.k., sasa kufanya human resources dept ina mfanya mhusika awe hajasoma au anajidharau?Ni ignoble kwa maana ya kwamba zinaweza kuvamia na mtu yeyote. Huwezi kuingia theatre ukafanya surgery kama daktari.
Lakini nimeona mtu kasoma IFM mambo ya finance halafu anakuwa Human resource officer!
Sasa kama si kujidharau nyinyi wenyewe na fani zenu mnataka nani awaheshimu.
Soma reply za hii thread jibu lishatolewaHamjambo?
Siku za hivi karibuni nimekuwa nikisikia sana neno hili 'Wakili Msomi', mwenye kujua tafsiri yake naomba msaada tafadhali. Ina maana kuna wakili asiye msomi? au...?
Hivi yule Wakili aliyemhoji Adamoo Mahakamani naye ni Msomi?The biggest bunch of brainwashing and misleading baloney I've ever read/ heard!
Kwa hio Bachelor ys IT hesabu,physics,cs sio wasomi.unaitwa wakili msomi kwasababu ya kujua na kutambua kila jamab kiundani. baada ya mtu kuapishwa na kuwa kamishna wa viapo na kwa maana hiyo anakuwa ni mtu mwenye uwezo wa kukuapisha kwenye jambo lolote pale unapohitaji kiapo. na ndiyo maana baad ya kupata degree ya kwanza ya sheria mtu unaitwa mwanasheria ila baada ya kupata postgraduate diplpoma in legal practise unaitwa wakili msomi. ni kama kwenye uhasibu au uhandisi baada ya kumaliza degree ya kwanza mtu anaitwa mwasibu au mhandisi ila mpaka uwe auditor au mhandisi majengo kuna course lazima uende for registration purpose!!!!!!!!! ndiyo maana ya wakili msomi yaani mtu ambaye anjua na kufahamu kila kitu