white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
Tofauti ndio hiyo niliyokueleza kwanini hawa wanajiita wakili msomi!!ni kwamba amesomea sheria na kufauru!!au labda kwako neno wakili unalielewa vipi?kwani sio kila mwanasheria ni wakili msomi,ila kila wakili msomi ni mwanasheria.Kaka mada yangu iko wazi,nawazungumzia mawakala wa sheria,tena sheria za ki sekula (secular).
Hao wa misitu na hao wengine hapa hawahusiki. Kwahiyo jikite katika kile kilichokusudiwa na mada.