Utambulisho wa "Wakili Msomi" kwa Mawakili au wanaSheria

Neno Wakili Msomi naona linaenea kwa kasi kubwa huwa sielewi lina maanisha nini linapotumika hasa hasa na Watangazaji wetu wa vyombo vya habari! nikijua kabisa huwezi kuwa wakili kama sio mwanasheria ambaye ni msomi.

Na kila fani kwa waliokwenda shule hasa level za chuo kikuu huwa ni wasomi.

Sasa kwanini wanaitwa Wakili Msomi je Kuna wakili asiye msomi au??

Mimi si mwanasheria!!
Wanaitwa msomi kwa sababu kuu mbili( at least kwa ninazozifaham).
1. Kazi zao zinacut across all other professions...mfano, medical doctor, accountant, engineer, etc. Akipatwa na shida ya kisheria inayohusu profession yake ataenda kwa mwanasheria, na mwanasheria atamsaidia kwa weledi kabisa.

Vivyo hivyo hakuna hakim/ jaji ambae kesi ikija ya medicine au engineering atasema sijui hayo mambo, bali ataamua kwa weledi kabisa.

Mfano mzuri, mahakaman anaeza shtakiwa mtu kwa kitu ambacho mwanasheria sio mtalam wa huko, lakini wakati wa kesi, wakili atamuhoji shahidi maswali yanayohusu profession yake hadi shahid anaeza kubaliana na mwanasheria. Kumbuka Lissu alimvohoji yule polisi wakati wa kesi ya Maxence Melo wa humu jf, jamaa alinywea.

Sasa huo uwezo wa kuweza kuyajua au kudeal na mambo ya profession zote unazozijua hapa duniani tena kwa wakati mfupi, ndio unafanya mwanasheria kua mtu wa kipekee na wa tofaut na profession nyingine, na akaitwa "learned brother" kwa kiswahili *msomi*.

Hence, all other professions are "educated" but only lawyers are "learned".

2. Sababuya pili ni a bit insignificant, na ni ya kihistoria au kimahakama zaid.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi na madaktari watasema kila profession wakiugua wanakimbilia kupata suluhisho la kuponesha uhai wao kwake sasa na madaktari mbona hawajiiti madaktari wasomi.
 
Acha utoto wewe usifananishe huyo askari ambae kahojiwa na sisi wahandisi na ndugu zetu madaktari na watu wote wa sayansi....yani kuhojiwa askari ndio unasema fani zote
 
Issue sio kujua professional nyingine...usitudanganye bwana.Hapo ni suala la kumbana mtu kisheria tu kutokana na tukio.Hebu tusidanganyane bwana.

Huyo Tundu Lissu anaweza kwenda Muhimbili na kufanya hata operation ya Appendectomy? Au Tonsillectomy au hata ya Bilateral tubal ligation.
 
Acha utoto wewe usifananishe huyo askari ambae kahojiwa na sisi wahandisi na ndugu zetu madaktari na watu wote wa sayansi....yani kuhojiwa askari ndio unasema fani zote
Waambie bwana hao wanaotaka kujiita bora zaidi ya wengine
 
Basi na madaktari watasema kila profession wakiugua wanakimbilia kupata suluhisho la kuponesha uhai wao kwake sasa na madaktari mbona hawajiiti madaktari wasomi.
Ndiyo hapo Sasa....mbona hawajikwezi na kama ni usomi wamesoma sana tu!
 
Hivi kwanini kila wakili siku hizi anaitwa wakili msomi? Utasikiaa ooh wakili msomi Jebra Kambona, mara wakili msomi Fatma Shomari. Hii ina maana gani hasa katika nchi ya watu wazima kama yetu? Si aina ya insanity hii?
 
Ni ile kujiproud tu juu ya career ya mtu hata wewe unaweza kujiita injinia msomi, daktari msomi, mwalimu msomi nk
 
Back
Top Bottom