Wanaitwa msomi kwa sababu kuu mbili( at least kwa ninazozifaham).
1. Kazi zao zinacut across all other professions...mfano, medical doctor, accountant, engineer, etc. Akipatwa na shida ya kisheria inayohusu profession yake ataenda kwa mwanasheria, na mwanasheria atamsaidia kwa weledi kabisa.
Vivyo hivyo hakuna hakim/ jaji ambae kesi ikija ya medicine au engineering atasema sijui hayo mambo, bali ataamua kwa weledi kabisa.
Mfano mzuri, mahakaman anaeza shtakiwa mtu kwa kitu ambacho mwanasheria sio mtalam wa huko, lakini wakati wa kesi, wakili atamuhoji shahidi maswali yanayohusu profession yake hadi shahid anaeza kubaliana na mwanasheria. Kumbuka Lissu alimvohoji yule polisi wakati wa kesi ya Maxence Melo wa humu jf, jamaa alinywea.
Sasa huo uwezo wa kuweza kuyajua au kudeal na mambo ya profession zote unazozijua hapa duniani tena kwa wakati mfupi, ndio unafanya mwanasheria kua mtu wa kipekee na wa tofaut na profession nyingine, na akaitwa "learned brother" kwa kiswahili *msomi*.
Hence, all other professions are "educated" but only lawyers are "learned".
2. Sababuya pili ni a bit insignificant, na ni ya kihistoria au kimahakama zaid.
Sent using
Jamii Forums mobile app