Utambulisho wa "Wakili Msomi" kwa Mawakili au wanaSheria

Kwasababu ni watu wa kusoma vifungu na sheria tu muda wote
 
Kozi nyingine hata major ikiwa ni uhasibu au fedha, wanasoma pia masuala ya sheria (business law), masoko (marketing), uchumi (economics), utawala (business administration) n.k., sasa kufanya human resources dept ina mfanya mhusika awe hajasoma au anajidharau?
 
Siku hizi naona na wenye CPA hasa wa Tz, nao wanaanza kasumba kama za wanasheria, kabla ya jina mtu anaanza CPA, wakati kiweledi, huanza jina la mhusika halafu baada ya jina kwenye mabano unaweza kuweka CPA, acca, PhD na vikorombwezo vinginevyo.
Kwa mtazamo wangu, nahisi ni kutojiamini kulikochagizwa na Magufuli kuteua watu walio na slimy isiyo pungufu ya master's, basi kila mtu lazima ajitutumue, huyu mhandisi, huyu CPA huyu wakili msomi ili waonekane kuwa ni wasomi, ikija utendaji, ni ubabaishaji kwenda mbele.
 
Hamjambo?

Siku za hivi karibuni nimekuwa nikisikia sana neno hili 'Wakili Msomi', mwenye kujua tafsiri yake naomba msaada tafadhali. Ina maana kuna wakili asiye msomi? au...?
 
Hamjambo?

Siku za hivi karibuni nimekuwa nikisikia sana neno hili 'Wakili Msomi', mwenye kujua tafsiri yake naomba msaada tafadhali. Ina maana kuna wakili asiye msomi? au...?
Soma reply za hii thread jibu lishatolewa
 
Kwa hio Bachelor ys IT hesabu,physics,cs sio wasomi.
Mawakili wanatambua kila jambo kiundani ni kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…