UncleBen
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 9,673
- 12,265
unaitwa wakili msomi kwasababu ya kujua na kutambua kila jamab kiundani. baada ya mtu kuapishwa na kuwa kamishna wa viapo na kwa maana hiyo anakuwa ni mtu mwenye uwezo wa kukuapisha kwenye jambo lolote pale unapohitaji kiapo. na ndiyo maana baad ya kupata degree ya kwanza ya sheria mtu unaitwa mwanasheria ila baada ya kupata postgraduate diplpoma in legal practise unaitwa wakili msomi. ni kama kwenye uhasibu au uhandisi baada ya kumaliza degree ya kwanza mtu anaitwa mwasibu au mhandisi ila mpaka uwe auditor au mhandisi majengo kuna course lazima uende for registration purpose!!!!!!!!! ndiyo maana ya wakili msomi yaani mtu ambaye anjua na kufahamu kila kitu
Duuu sasa hizo kesi kwanini wanashindwa japo wanajua kila kitu ?