mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,735
sioni kama kuna usomi wowote zaidi ya proffession nyingine.Hata Mimi huwa sielewi kwa nini wakili msomi, kwani kuna mawakili ambayo sio wasomi? Na huko kwa wenzetu huwa wanajiita hivyo wakili msomi?
Abraham Linkoln alitokea kijijini akajisomea mwenyewe sheria nyumbani miaka mitatu akawa wakili mzuri tu. Ila wa kwetu hadi kesho huwa sielewi ni usomi gani wanauzungumzia.