Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 8,069
- 15,029
Mbona ghafla kakaπWajinga wajinga wasinitag maana walinizoea vibaya
Hasa hawa mbwa eli Cohen Chizi Maarifa na shoga zao
AmbiereeeMshua wangu Mshana senior πͺπΏ
Kila nyuzi wananitagMbona ghafla kakaπ
Huyu ndio Tony?GTA III gamers wa zamani wanamjua huyu character
View attachment 3594418
Ila we jamaa hilo jina ukiunga ni kukazwa....Kila nyuzi wananitag
unasali sana?Jiongezeni tu nimechoka kuwafafanulia.
Na wameacha kunitag kabsaIla we jamaa hilo jina ukiunga ni kukazwa....
Swali gumu sana ila kwa kifupi game ni hobby inayohitaji akili nyingi na maarifa.Huyu ndio Tony?
Hv mnaocheza game huwa mnaenjoy nini? Katika vitu nmeshindwa ni kucheza game...
I am an introvert that's whyJe jina unalotumia jamii forum limetokana na nini? Why uliamua kujiita hivyo?
Binafsi jina nalotumia ni taaluma yangu na kwa sababu naipenda Tanzania likaunga na uzalendo.....
ππππ ππ€£πππ€ͺπππππKila nyuzi wananitag
Hatutaki kujiongezaJiongezeni tu nimechoka kuwafafanulia.
Chomaji uuzwe tu ndugu yangu haiwezekani kila mechi tunafungwa kirahisi π.Foffana Kitasa cha Chelsea hiki kipindi anatoka Lei kuja Chelsea ndo kipindi ambacho nilifungua hii account pia ni nickname ya waskaji zangu walikuwa wananiita