Utambulisho wako wa JamiiForums (jina) chanzo chake ni nini?

Utambulisho wako wa JamiiForums (jina) chanzo chake ni nini?

Write your reply...nilikuw napenda kusoma nyuz za jf toka nipo shule 2012na nkajagundua humu kuna ma great sinka kwelikweli kama walivopenda kujiita, so baada ya miaka 13 kupita bila kuwa na akaunt ya jf nikapata wazo nijumuike nanyi mana nlikuwa mpweke sana ndo nkapata wazo nijiite hvo ila niwe sinka kutoka sayari nyingine.
 
Nini kilifanya ujione introvent?
Tabia nilizo nazo, mwanzo sikufahamu kuwa nipo kundi gani mpaka nilivofika sekondari.

Ni mtu flani wa kujitenga sana nisiependa ukaribu na watu wengi imshort sipo socialized najihisi huru zaidi nikiwa peke yangu.

Si muongeaji sana kama usiponichangamsha.

Sipendi sehemu zenye kubeba wahusika wengi wanaohitaji attention kama sherehe n.k

Na vengine vingiiii sana siwezi elezea vyote hapa.

Ila hongera sana kwa kubarikiwa kuwa mhandisi tena aliyemzalendo wa taifa lake
 
Back
Top Bottom