Utambulisho wako wa JamiiForums (jina) chanzo chake ni nini?

Halafu siku hizi unaiponda Russia na kua upande wa Westeners!

Kumbe humu tupo na watoto wetu kabisa,2015 upo Shule.
Kati ya watu tunaoipenda Russia humu JF mimi nipo. Kuipenda Tanzania haimaanishi sasa ikifanya kila kitu uitetee. Kuna mambo Russia naipendea kama culture, history na literature yao na hiyo haimaanishi nipende militarism yao.
 
Ila kilichokutorosha Shule ni kuangalia militarism yao,au ulitoroka Shule ili uangalie Culture na history yao?

Hilo jibu lako ni sawa na kujifunga kamba wewe mwenyewe.
 
Hao mates zako kwanini walikubatiza hilo jina? Lina connection na kitu chochote/mtu yeyote au tukio lolote lile?
Jirani mbona nimeelezea sababu nilikua nalea mtoto wa dada yangu nikiwa nasoma, kwahiyo wakaniita Lamomy..!!

Walichukua herufi ya kwanza ya jina langu La wakaunganisha na momy sababu yule mtoto alikua akiniita mommy!!

Hebu acha kunichimba mwisho watanijua 😹😹
 
Ila kilichokutorosha Shule ni kuangalia militarism yao,au ulitoroka Shule ili uangalie Culture na history yao?

Hilo jibu lako ni sawa na kujifunga kamba wewe mwenyewe.
Hapa hujatofautisha maana ya militarism au unadhani parade na commemoration ndio militarism.

Tanzania ikifanya kumbukumbu ya vita ya Kagera au kufanya parade siku ya uhuru hapo haifanyi militarism. Ila Rwanda ikivamia eneo la Kivu Kaskazini ndio militarism hiyo.
 
Unazunguka mule mule,
Inaonekana hujui hata maana ya hiyo ID yako,

Ulitoroka Shule ukashangae T-14 Armata ambayo ni Russian fourth-generation main battle tank (MBT)

Si ukubali tu kua utotoni ulikua unaikubali Russia ila ukahamisha shobo kwa Westeners,au unaona aibu?
 
Unazidi kujitia ujuaji wakati hujui kitu. Kwanza unaijua commemoration ya Moscow Victory Day Parade ni ya nini? Na ina maana gani kwenye ulimwengu wa kivita duniani?

Unajua maana ya unveiling?
Mfano unawezaje kwenda kwenye Exhibition ukiwa unajua list ya vitu ambavyo vitakuwepo? Sasa hiyo si inakuwa kama supermarket.

Prototype ya T-14 Armata ilikuwa unveiled siku hiyo na hakuna mtu alikuwa anaijua kwa jina wala umbo hata umma wa Warusi wenyewe. Sasa unasemaje nilienda kuishangaa wakati hata haikuwepo?
 
Huna akili,

Una jitia ujuaji kukataa kitu ambacho wewe mwenyewe umekisema,anyway labda sababu ya utoto coz ulitoroka Shule,

Ukiweka hivyo vingereza vya kuokoteza ndio unajiaminisha kua uko mbali sana sio?
 
mm mpenzi wa kusikiliza EDM (music)
kuna American Dj mmoja namkubal anaitwa Christopher Comstock known
professionally as Marshmello, pia nikiwa sec school nilikuwa napenda solve matrix questions
MARshmello + maTRIX = martrix
32 just a number
 
Back
Top Bottom