Mbamizwa katumeni unaendeleaje na katoto lee?Tangu kuzaliwa kwangu nimekuwa nikijihisi nina komwe kubwa sana hivyo sina budi kuwa BICHWA KOMWE.
Hata mume wangu analijua hilo na ameshanipa pole.
Cc: secretarybird Mbaga Jr Lamomy
Hakika nimekuelewa mno.Zamani babu yangu alikuwa mojawao wa viongozi walitawala muda mrefu sana kwa eneo lake, alikuwa na nguvu sana, watu wakamuita "CRATOS" yaani power/nguvu kutokana na kigriki, wakurya wakashindwa kuita cratos wakawa wanaita kerato, hata nilipozaliwa nilikuwa na mfanano wa babu yangu wakaniita cratos/kerato
-mombaa nalo ni jina la kikurya lenye maana ya mtu mwenye uwezo wa kujihami, nilimiliki majina yote, na ndo majina yangu halisi
KERATO/CRATOS= NGUVUU
MOMBAA (kikurya cha ndani)= kujihami
secretarybird upo
Nilipata hela nyingi sana kwa bahati kipindi ambacho sina kazi kJe jina unalotumia jamii forum limetokana na nini? Why uliamua kujiita hivyo?
Binafsi jina nalotumia ni taaluma yangu na kwa sababu naipenda Tanzania likaunga na uzalendo.....
ni moja ya intertainment tu 🎮Huyu ndio Tony?
Hv mnaocheza game huwa mnaenjoy nini? Katika vitu nmeshindwa ni kucheza game...
secretarybird,
Kwa kiswahili waweza kumwita Kitaroharo. So, call me 'ndege mdinya' 😎.
Huku ndiko kule kudinya tunakokusema kila mara.sawa sawa secretarybird, lakini mbona kitaroharo wanabambiaga mgongo au ndo kudinya kwenyewe 😁 !
Inafanana kidogo na hii clip [emoji1787]Domo zege niliyebustiwa nikachangamka
Coco upo single au taken🥹🥹
Unapenda nukia vizuri.... Ni made in wapi?
,😂😂😂🤓Soda ya Coca-cola, ilinichapa vibaya sanaa, sina hamu nayo.
Hatariii sanaa, [emoji23][emoji23][emoji23],[emoji23][emoji23][emoji23][emoji851]