Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,593
- 46,759
Naaam huyo ndie, PM iko wazi dada usimwage mchele hapa, kuna kuku wengi.Na huyo kwenye Avatar ndio wewe pia?
Naaam huyo ndie, PM iko wazi dada usimwage mchele hapa, kuna kuku wengi.Na huyo kwenye Avatar ndio wewe pia?
Fire 🔥Twende Eid wallah hutojuta, kwa ss nipo hapa hapa Mjini.
😃😃Alikua anachana sana nguo za shule 😃😃
Kuna mzee hapo anaitwa mzee January, Kuna dereva anaitwa yahya walipoteza mzigo mkubwa wa mchepuko wangu ikabidi niwatafute niwapige mkwaraKuna Agency inaitwa Mpaji Mungu ipo pale Ilala inatoa mizigo Dar kwenda Tabora na wilaya zake.
Nelson Chrizostom RutashobyaShabiki sana wa hip hop, wimbo wa "nini dhambi kwa mwenye dhiki" by Faza Nelly(RIP) ndio wimbo wa kwanza wa hip hop ya Tanzania kufikisha views 1M pale YouTube June 2013.
Kwa wasio mfahamu Faza Nelly ni huyo kwenye profile picture yangu.
Hiyo gee itakua getruda😩🤣Chica - Ni Binti/Msichana kwa kispanish
Gee - Ni swaga tu ila ni herufi ya kwanza ya jina langu 😅
Kwakuwa napenda Kispanish, nikaunganisha hapo nikapata username Chica Gee
Nope😀Hiyo gee itakua getruda😩🤣
Gigi money?Nope😀
Kiwembe limejitosheleza lenyewe kama lilivyo 😂
Unyama flani hivi 😂Depal
De - The
Pal - friend
Sikumbuki ilikuwaje.. nachojua wakati niko nanga humu nilitumiaga real name😁 wananchi wakanambia umetoka bongo au? Hayo hayatumikigi huku..nikabadili chap
Fala 😂😃😃Alikua anachana sana nguo za shule 😃😃
Kama tusipouza hawa watoto nadhani tabu itaendelea kuwa palepale mkuu
Tutamshushia tu heshima xabi
Mmeamua msimu ujao msicheze hata conference league 😀😀
DC niaje 😂Kuna mzee hapo anaitwa mzee January, Kuna dereva anaitwa yahya walipoteza mzigo mkubwa wa mchepuko wangu ikabidi niwatafute niwapige mkwara