mlevi sugu
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,981
- 3,875
napenda sana wachina jina la kwangu limetokana na demu wangu wa kichina pingxi
Dogo nyege zinakusumbua.Wajinga wajinga wasinitag maana walinizoea vibaya
Hasa hawa mbwa eli Cohen Chizi Maarifa na shoga zao
Last Born wa Suluhu bhana.Jiongezeni tu nimechoka kuwafafanulia.
Walikutisha tu.Depal
De - The
Pal - friend
Sikumbuki ilikuwaje.. nachojua wakati niko nanga humu nilitumiaga real name😁 wananchi wakanambia umetoka bongo au? Hayo hayatumikigi huku..nikabadili chap
Ile ID yako ya Stability hujaitumia toka asubuhi, toka kwa shemejDogo nyege zinakusumbua.
Watoto wa Maji chumvi bn!Last Born wa Suluhu bhana.
Kuna Agency inaitwa Mpaji Mungu ipo pale Ilala inatoa mizigo Dar kwenda Tabora na wilaya zake.Hatutaki kujiongeza
Coco upo single au taken🥹🥹🤗
Manukato
Kawaida tu nipo kama sipo sometimes Pure Mlutheri sometimes naona kama haya mambo ya dini/Imani ni man made.unasali sana?
Enhee ndiyo kusemaje?Kuna Agency inaitwa Mpaji Mungu ipo pale Ilala inatoa mizigo Dar kwenda Tabora na wilaya zake.
Muda mwingine Ijumaa mchana nakua mitaa ile.Enhee ndiyo kusemaje?