Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 11,047
- 16,378
Ogopa watu ndiyo maana ya jina langu.
Asante sana kaka....Tabia nilizo nazo, mwanzo sikufahamu kuwa nipo kundi gani mpaka nilivofika sekondari.
Ni mtu flani wa kujitenga sana nisiependa ukaribu na watu wengi imshort sipo socialized najihisi huru zaidi nikiwa peke yangu.
Si muongeaji sana kama usiponichangamsha.
Sipendi sehemu zenye kubeba wahusika wengi wanaohitaji attention kama sherehe n.k
Na vengine vingiiii sana siwezi elezea vyote hapa.
Ila hongera sana kwa kubarikiwa kuwa mhandisi tena aliyemzalendo wa taifa lake
Lugha gani hii mkuu?Ogopa watu ndiyo maana ya jina langu.
Nimekupata 🔥😅Muda mwingine Ijumaa mchana nakua mitaa ile.
GTA III gamers wa zamani wanamjua huyu character
View attachment 3594418
ni jina langu la ubatizo 🐒Je jina unalotumia jamii forum limetokana na nini? Why uliamua kujiita hivyo?
Binafsi jina nalotumia ni taaluma yangu na kwa sababu naipenda Tanzania likaunga na uzalendo.....
Ulielewa jina langu siyo si umefika Ulanga kule.Safii👍
Sikulewa hata mpka alivyosema mwenyeweUlielewa jina langu siyo si umefika Ulanga kule.
Kipogoro hichoLugha gani hii mkuu?
Basi hukukaa sana kule maana ndiyo lugha ya kule.Sikulewa hata mpka alivyosema mwenyewe
Sijawahi kukaa morogoro hata kwa saa moja 😅Basi hukukaa sana kule maana ndiyo lugha ya kule.
Dooohhh good town nakwambiaaaSijawahi kukaa morogoro hata kwa saa moja 😅
Nitakuja InshaAllah mwenyeji nishapataDooohhh good town nakwambiaaa
Na huyo kwenye Avatar ndio wewe pia?Mimi ndio jina langu halisi
Twende Eid wallah hutojuta, kwa ss nipo hapa hapa Mjini.Nitakuja InshaAllah mwenyeji nishapata