😹😹😹 Coca ilikufanya nini udugu samaraiziSoda ya Coca-cola, ilinichapa vibaya sanaa, sina hamu nayo.
Kumekucha wizo 😹Tangu kuzaliwa kwangu nimekuwa nikijihisi nina komwe kubwa sana hivyo sina budi kuwa BICHWA KOMWE.
Hata mume wangu analijua hilo na ameshanipa pole.
Cc: secretarybird Mbaga Jr Lamomy
Halafu siku hizi unaiponda Russia na kua upande wa Westeners!Nilitoroka shule kwenda kutazama kwa TV Moscow Victory Day Parade ya mwaka 2015 ambayo ilikuwa kutumizia miaka 70 baada ya WW2. Kwenye parade hiyo Sergei Shoigu akiwa Waziri wa Ulinzi wa Urusi alizindua T14 Armata na ikapambwa sana kuwa ni next big thing. Nikakipenda kile kifaru, baadae nipo A level nikaanzisha hii account baada ya ile ya O level kupoteza credentials zote na logged in devices.
Miaka 10 sasa the MBT is nowhere to be seen bado iko kwenye prototype.
Hao mates zako kwanini walikubatiza hilo jina? Lina connection na kitu chochote/mtu yeyote au tukio lolote lile?Lamomy, niliachiwa mtoto mdogo wa miaka 2 nimlee nikiwa mdogo sana na dada yangu akatokomea Turkey..
Nilihama hostel ya kawaida nikapewa zile wanazokaa wanaochukua masters kwa waliopita MU wanazijua..!!
Basi mates wakanibatiza Lamomy
Siyo hataSawa glory
GilooSiyo hata
🤣🤣🤣🤣imebidi nisome username yakoWajinga wajinga wasinitag maana walinizoea vibaya
Hasa hawa mbwa eli Cohen Chizi Maarifa na shoga zao
Hebu niache Ras 😅 sitaki kucheka nina huzuniGiloo
Huzuni ya nini tena?Hebu niache Ras 😅 sitaki kucheka nina huzuni