Utamfanyaje mwanamke anayekuambia ana mimba wakati hana?

Uyo piga chini kabisa mkulungwa tapeli kabisa uyo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ubaya wa kutokutaa Mimba... Yaani kanikamua Hadi utumbo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah humu mjini noma njaa watu wanakuwa wabunifu kiasi hicho, nina jamaa yangu demu wake kamwambia ana mimba kumbe hakuna lolote ni mizinga tu kila kukicha
 
Nilichofanyiwa nitoe Rai kwa wanaume wenzangu never trust a woman
Kipindi nasoma nilipata demu mmoja kitaa mrembo haswa, nikasafiri kwenda mkoani kusoma tukawa tunawasiliana kwa simu tu

Likizo ilivyofika nikam alert kua nakuja, nikastukizwa hapo hapo na habari mpya kua ye mgonjwa anaumwa asthma na muda wowote ataenda njombe kutibiwa

Nikawa najiuliza kama ugonjwa umefikia mpak hatua hiyo ya wewe kuhitaji matibabu ya kwenda mkoani maana yake upo critical, lakini mbona siku za nyuma hukuwahi kuniambia au kuonesha dalili zozote za ugonjwa?

Halafu mbona ghafla hivi yani kwanini iwe siku ambayo nakuja mimi na wewe ndio iwe siku hiyo hiyo ya kondoka?

Nikamwambia basi nabadilisha ratiba nakuja siku kabla ya wewe kuondoka na ikiwezekana nakusindikiza hadi huko

Akakubali kinyonge

Nikamwambia kesho naanza safari akasema poa, nilivyofika usiku nikiwa stend nikampigia aje akasema ametingwa sana hajiskii vizuri, nikamuacha

Asubuhi yake majira ya saa 10 alfajiri nikatumiwa meseji kua kulingana na hali ilivyo nibadilikia hapo jana, wazazi wamenambia niende hospitalini leo

Pale pale nikamjibu kuwa sawa basi ngoja nije hapo stend uzuri nina usafiri sito chukua muda, akajibu akasema "yani hivi ndo napanda gari na limeanza kuondoka lala tu baby usijisumbue tutaonana nikirudi"

Siku moja nikapita mitaa yao nikiwa na mshkaji wangu kucheki hivi nikaona demy ana bonge ya litumbo, nikamwambia msela ebu simamisha kwanza nijionee vizuri

Kushuka hivi nikagongana naye macho akashtuka akiwa haamini kama nimemsanukia na mimba yake, nikarudi zangu huyo tukaamsha.

She asked for forgiveness I said No, I'm not a God so I'm not a forgiver
 
Hahaha [emoji23][emoji23][emoji23] umejuaje... Hebu niambie una deal vipi na hii hali
Ukiona hivyo ameona anakumudu ujue wanawake wengi huleta unjinga kwa kumcheck mwanaume anaedate nae akikuona zombie umeisha.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah humu mjini noma njaa watu wanakuwa wabunifu kiasi hicho, nina jamaa yangu demu wake kamwambia ana mimba kumbe hakuna lolote ni mizinga tu kila kukicha
Nilidhanigi Mimi ni mkavu, ila Wanawake nimewavulia kofia... 😂😂😂😂 NikikumBuka nilivokuwa nalalamikiwa nikichelewa kutoa mpunga naishiwa pozi
 
Ukiona hivyo ameona anakumudu ujue wanawake wengi huleta unjinga kwa kumcheck mwanaume anaedate nae akikuona zombie umeisha.
Nasadiki.... Ndugu ingekuwa filamu ningewafundisha wengi, sijui ilikuwaje nikashindwa kuelewa mapema
 
Kipindi nasoma nilipata demu mmoja kitaa mrembo haswa, nikasafiri kwenda mkoani kusoma tukawa tunawasiliana kwa simu tu

Likizo ilivyofika nikam alert kua nakuja, nikastukizwa hapo hapo na habari mpya kua ye mgonjwa anaumwa asthma na muda wowote ataenda njombe kutibiwa

Nikawa najiuliza kama ugonjwa umefikia mpak hatua hiyo ya wewe kuhitaji matibabu ya kwenda mkoani maana yake upo critical, lakini mbona siku za nyuma hukuwahi kuniambia au kuonesha dalili zozote za ugonjwa?

Halafu mbona ghafla hivi yani kwanini iwe siku ambayo nakuja mimi na wewe ndio iwe siku hiyo hiyo ya kondoka?

Nikamwambia basi nabadilisha ratiba nakuja siku kabla ya wewe kuondoka na ikiwezekana nakusindikiza hadi huko

Akakubali kinyonge

Nikamwambia kesho naanza safari akasema poa, nilivyofika usiku nikiwa stend nikampigia aje akasema ametingwa sana hajiskii vizuri, nikamuacha

Asubuhi yake majira ya saa 10 alfajiri nikatumiwa meseji kua kulingana na hali ilivyo nibadilikia hapo jana, wazazi wamenambia niende hospitalini leo

Pale pale nikamjibu kuwa sawa basi ngoja nije hapo stend uzuri nina usafiri sito chukua muda, akajibu akasema "yani hivi ndo napanda gari na limeanza kuondoka lala tu baby usijisumbue tutaonana nikirudi"

Siku moja nikapita mitaa yao nikiwa na mshkaji wangu kucheki hivi nikaona demy ana bonge ya litumbo, nikamwambia msela ebu simamisha kwanza nijionee vizuri

Kushuka hivi nikagongana naye macho akashtuka akiwa haamini kama nimemsanukia na mimba yake, nikarudi zangu huyo tukaamsha.

She asked for forgiveness I said No, I'm not a God so I'm not a forgiver
Forgiveness for what? For cheating or tell lie kuwa amesafiri?!
 
Nilidhanigi Mimi ni mkavu, ila Wanawake nimewavulia kofia... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] NikikumBuka nilivokuwa nalalamikiwa nikichelewa kutoa mpunga naishiwa pozi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] duh pole sana kumbe umepasuliwa ivyoo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hawa Wanawake Hawa...hebu elezea zaidi
Huyu mdada hakuwa na huruma ,Bro alikua anatoa pesa nyingi Sana lakini Kuna baadhi ya ndugu walishitukia wakamngata sikio bro. Ikawa nikama kumpigia Gita mbuzi akawachukia ndugu wote kuwa wanamuonea wivu ,muda huu kapiga chini baada ya kujua kumbe alikuwa anamdanganya

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ndugu imagine mtu anataka Hela ya Nauli ya clinic na follicle acid kumbe haendi kabisa...
 
Mimi nimekaza mpaka leo nasubili huyo mtoto azaliwe hiyo january 2022...asipofanana na mimi huu uarabu koko wangu ameumia huyu dada mfupiii mwenye makalio makubwa 😁😁😁
 
Back
Top Bottom