Utamfanyaje mwanamke anayekuambia ana mimba wakati hana?

Wadau maoni muhimu, imagine umekuwa ukiamini unahudumia mimba yako. Kila siku unatoa pesa ya matumizi hadi bajeti za vifaa vya kujifungulia, halafu mwisho wa siku unakuja kuambiwa mimba haikuwepo

Mkuu kama haikuwepo wewe endelea ku....
 
Wadau maoni muhimu, imagine umekuwa ukiamini unahudumia mimba yako. Kila siku unatoa pesa ya matumizi hadi bajeti za vifaa vya kujifungulia, halafu mwisho wa siku unakuja kuambiwa mimba haikuwepo
hiyo issue kama naipata hiv
huyo mwanamke alikuwa anafanya hivo kusud apate pesa na mlikua mnakutana kimapenzi sehem akija kuwasalimia ndg zake na tangia hapo hamjakutana tena zaid ya kuwasiliana na kila unapo wasiliana alikua anakwambia anamimba yako
Na kuna mpango yy aliupanga kwamba baada ya kipindi cha miez kadhaa atakwambia imehar ibika.
Na wewe mlipanga mtakuja kuona
Kwahyo hapo huwezi kudumu naye kama alithubutu kukudanganya kuhusu ujauzito
 
Hebu ni DM
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Hii kali
 
Kuna jamaa yangu alihudumia hadi mtoto.
Bahati nzuri ilikuja kusanuka.
 
[emoji23][emoji23]Huwa hwana tabia ya kusalimia wajawazito huwa hawapend klinik kupima nao pia?
Ndio tatizo hilo,
Jamaa alikuwa anajimwambafai na mtoto.
Kumbe mtoto si wake

Ila wanawake nyie mnajua kuficha.
 
Ndio tatizo hilo,
Jamaa alikuwa anajimwambafai na mtoto.
Kumbe mtoto si wake

Ila wanawake nyie mnajua kuficha.
Mwanamke akiamua kumpiga mtu tukio ni la aina yakeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚had shetan anashangaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…