Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,231
- 22,494
Aisee umenipa somo leo, acha niende chap PM za watu nikajaribu. Nitakupa mrejesho😆Anza na Habari yako mrembo😂😂
Hizo hai na hei waachie vijana wa aijiii na tiktok😆
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee umenipa somo leo, acha niende chap PM za watu nikajaribu. Nitakupa mrejesho😆Anza na Habari yako mrembo😂😂
Hizo hai na hei waachie vijana wa aijiii na tiktok😆
😆😆😆Aisee umenipa somo leo, acha niende chap PM za watu nikajaribu. Nitakupa mrejesho😆
Au nianze na wewe mwenyewe?😅😆😆😆
Haina shida, usiniangushe.
Weka vyakwako tushindanishe na hivi ! Mhaiki family ya morogoro songea na dar mbona sio watu wa hivi? Au wewe mhaiki mlevi?Vigezo vyako sio..
Yan uanze kwa mwalimu wako😂Au nianze na wewe mwenyewe?😅
Ndio mana mwalimu anatoa mifano darasani😄Yan uanze kwa mwalimu wako😂
Wewe ushaonaga wapi hiyo?
Hawa ndio wajinga wa mwisho duniani. Huwa nikiona SMS ya design hiyo kwenye simu yangu huwa nablock kabisa huyo numberukiona mtu anakutafuta yeye halafu anakwambia "nambiye"
Walimu wa uzunguni huko ila mie mwalimu wa bongo😂😂Ndio mana mwalimu anatoa mifano darasani😄
Sasa utajuaje kama mwanafunzi kaelewa somo?Walimu wa uzunguni huko ila mie mwalimu wa bongo😂😂
Mimi nasubiri tu mrejesho
Hiyo nguvu anaipata wapiBusy na simu wakati tunanyanduana..
Kwa ubishi huo uta supp😂😂😂Sa
Sasa utajuaje kama mwanafunzi kaelewa somo?
Hello!Unaanzaga na hai au hei😂😂😂
Unafeli sana hapo
Dah supp tena😅Kwa ubishi huo uta supp😂😂😂
Unakua mbishi sasa jaman😂Dah supp tena😅
Acha niende PMUnakua mbishi sasa jaman😂
Haya kila la kheriAcha niende PM
Unauliza au unaeleza?Umechanganya vitu hata ambavyo sivyo nadhani umnyonge sana vipi pesa unazo au unajitafuta
Hii ni dharau ya rejareja.Mtu anakununulia soda ujue Anakufharau