Utamjuaje mwanaume ambaye tayari yuko kwenye ndoa ama mahusiano mengine?

Utamjuaje mwanaume ambaye tayari yuko kwenye ndoa ama mahusiano mengine?

wamanga

Senior Member
Joined
Feb 11, 2016
Posts
109
Reaction score
320
Sikuhizi imekuwa vigumu sana kumtambua mwanaume ambaye tayari ameshaoa!

Kwa uzoefu wako mdau,naomba mnisaidie Niko matatani!

Nitamtofautisha vipi ambaye ameoa na ambaye sie ilihali sikai eneo LA karibu na anadai kunipenda?
 
Sikuhizi imekuwa vigumu sana kumtambua mwanaume ambaye tayari ameshaoa!

Kwa uzoefu wako mdau,naomba mnisaidie Niko matatani!
Nitamtofautisha vipi ambaye ameoa na ambaye sie ilihali sikai eneo LA karibu na anadai kunipenda ?
Observe their pattern. Usisikilize sana wananchosema. Angalia matendo yao.. yatakupa viashiria flan kwamba huyu mtu sio
 
Wewe uwe unapenda kuongea naye usiku kwenye simu .,

Utaona anakupa ratiba kibaooo

Lkn kwann akufiche?? Mimi nikitaka mwanamke, namwambia tu, aisee nmekuelewa ila Nina familia, tunaweza Kulana ??

Na mwitikio unakua mzuri tu.
Nikimpigia usiku mm hapokei,anakaa kama DKK 10 afu ananipigia anadai yuko na mzazi ake ni mkali hawezi kuongea mbele yake!na hiyo kijana ana miaka 31
 
Sikuhizi imekuwa vigumu sana kumtambua mwanaume ambaye tayari ameshaoa!

Kwa uzoefu wako mdau,naomba mnisaidie Niko matatani!
Nitamtofautisha vipi ambaye ameoa na ambaye sie ilihali sikai eneo LA karibu na anadai kunipenda ?

Mnaongea vipi, hakuna limitation ya kupiga kutuma msg n.k? Je unampata muda wowote unaomuhitaji au mpaka muweke ratiba? Mkikutana hua mnaspend usiku mzima au ni lazima arudi nyumbani akalale? Unaenda kwake utakavyo? Maongezi yake yako vipi ?

Kama yote hayo bado na unataka kujua basi jaribu
Kumpigia simu usiku uone kama atapokea na kama ukipokea je mtaongea kwa uhuru na kujiachia kama mnavyoongeaga muda mwingine,

Jaribu, kutaka kuspend nae usiku mzima au hata siku mbili mfululizo

Kama hujawahi fika kwake pambania uende

Ila ukijua ni mume wa mtu utamuacha?

Anyway mume wa mtu mtamu na mzuri ila raha awe amekuambia mwenyewe na umeridhia apo utaenjoy [emoji23]
 
Back
Top Bottom