Utamjuaje mwanaume ambaye tayari yuko kwenye ndoa ama mahusiano mengine?

Utamjuaje mwanaume ambaye tayari yuko kwenye ndoa ama mahusiano mengine?

Upo desperate sana na ndoa.... Namna hii sijui kama utafanikiwa.
 
Nikijua ni mume wa MTU nitamuacha kwa sababu ninapenda nijipatie wa kwangu!

Ila kuhusiana na kuwasiliana yuko active sana kuchat asubuhi mpk muda ya SAA mbili anawahi kuaga

Na huyu kijana sijakuwa naye hata mwezi uishe ila matendo yake yananishtua
Hahahah saa mbili anakuaga anaingia kwa mkewe
 
Nikijua ni mume wa MTU nitamuacha kwa sababu ninapenda nijipatie wa kwangu!

Ila kuhusiana na kuwasiliana yuko active sana kuchat asubuhi mpk muda ya SAA mbili anawahi kuaga

Na huyu kijana sijakuwa naye hata mwezi uishe ila matendo yake yananishtua
Usimuache kama unampenda hakuna mume wa mtu wewe ndo maana wanaume hawalipiwi mali
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]life is too short kuwa na stress,
Wewe mume wa mtu umeona unataka kuwa na pa kuhemea o whatever ni bora kumwambia binti wa watu mapema ajue kama anakubali anakubali kitu gani kuliko kudanganya
Ukweli hukuweka huru daima!
 
Wewe uwe unapenda kuongea naye usiku kwenye simu .,

Utaona anakupa ratiba kibaooo

Lkn kwann akufiche?? Mimi nikitaka mwanamke, namwambia tu, aisee nmekuelewa ila Nina familia, tunaweza Kulana ??

Na mwitikio unakua mzuri tu.
Akili zako [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!
 
Ahsante eee,au ndio maaana nikimpigia muda mingine anaongea kwa nguvu kama hanisikii afu ananiita madam
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom