Utamjuaje mwanaume ambaye tayari yuko kwenye ndoa ama mahusiano mengine?

Utamjuaje mwanaume ambaye tayari yuko kwenye ndoa ama mahusiano mengine?

Ofcourse kuwa na multiple partners inatokeaga at times unatafta mwenza sahihi sio kosa. Unaweza kuwa nao ili kupata picha halisi ya nani madhaifu yake unaweza kuyabeba ila sasa itategemea na intention zao hao watu wako.

Huyu mtoa mada yeye yupo kwenye deadline sikazi ana miaka 29 sasa so anatafta mtu wa kumuoa immediately ndio yamkini ana wasiwasi. Ila kwa sisi wanaume unaweza kuwa huna mpango huo ndio shida inapoanzia hapo. Hata aongee na mungu au vipi hana guarantee kuwa mjuba yupo nae serious!
Kwamba mleta mada yupo kwenye deadline..😂😂😂
 
Kama unaishi huku ukimshuku ni dalili tosha hauko kwenye mahusiano sahihi, mahusiano yote yenye afya yanajengwa na trust kama foundation, huyo hakufai mkuu hata kama hana mke ,kitendo cha wewe kutomuamini kitakuandama milele tafuta mtu ambae una amani nae
 
Nikimpigia usiku mm hapokei,anakaa kama DKK 10 afu ananipigia anadai yuko na mzazi ake ni mkali hawezi kuongea mbele yake!na hiyo kijana ana miaka 31
Huyu ni mume wa mtu achana nae 31 yrs hawez kuwa na utetez kama huo
 
Hii ni hatari sana anakua anawaza gauni la harusi tuu na matarumbeta...
Hamna kingine yani hapo ni mtifuano tu baada ya harusi ndo akili inarudi kumbe sikupenda kuwa na mume mwembamba hivi...sikupenda kuwa na mwanaume asiye na mipango ya maisha...sikupenda kuwa na mwanaume mamas boy! Kumbe mume hana kazi ni deiwaka!😂😂😂

Miezi sita mingi watu wanagawana mbao😂
 
Hii ni hatari sana anakua anawaza gauni la harusi tuu na matarumbeta...
Ni sema kuna tofauti kati ya ndoa na harusi dear!

Ukiwa unataka ndoa uoga na wasiwasi muda mwingi huepusha mengi mabaya!

Ila kama issue ni harusi it is very simple. Though God can bless me with both !sio mbaya every lady anapenda kama sio kutamani ,Mungu ambarikie na vyote
Coz vyote vina faida duniani
 
Kama unaishi huku ukimshuku ni dalili tosha hauko kwenye mahusiano sahihi, mahusiano yote yenye afya yanajengwa na trust kama foundation, huyo hakufai mkuu hata kama hana mke ,kitendo cha wewe kutomuamini kitakuandama milele tafuta mtu ambae una amani nae
Yaaani uko sahihi sana ,nakuunga mkono kwa hili
 
Ni sema kuna tofauti kati ya ndoa na harusi dear!

Ukiwa unataka ndoa uoga na wasiwasi muda mwingi huepusha mengi mabaya!

Ila kama issue ni harusi it is very simple. Though God can bless me with both !sio mbaya every lady anapenda kama sio kutamani ,Mungu ambarikie na vyote
Coz vyote vina faida duniani
Mtoto upo vizuri sana...😂😂😂
 
Ofcourse kuwa na multiple partners inatokeaga at times unatafta mwenza sahihi sio kosa. Unaweza kuwa nao ili kupata picha halisi ya nani madhaifu yake unaweza kuyabeba ila sasa itategemea na intention zao hao watu wako.

Huyu mtoa mada yeye yupo kwenye deadline sikazi ana miaka 29 sasa so anatafta mtu wa kumuoa immediately ndio yamkini ana wasiwasi. Ila kwa sisi wanaume unaweza kuwa huna mpango huo ndio shida inapoanzia hapo. Hata aongee na mungu au vipi hana guarantee kuwa mjuba yupo nae serious!
Hamnaga ukingo kama haipo haipo na kama ipo ipo tu. Msiwatishe wenzenu
 
Wakuu chonde chonde 🙏 msitoe code tutaumbuka wengine
 
Sijui yaani yaani unaona libaba limtu mzima ila linasema et halijaoa sijui kwa nini hata mmewangu nshamfuma anasema hajaoa nilicheka sana

hahaha [emoji1][emoji1] ulicheka mbele yake?
lazima aone noma….umembamba mawindoni.
 
Ukiwa ni mke wa mtu ndani ya nyumba hilo huwa jepesi mno!
Not real. Tunao watu kwenye familia, marafiki, jamaa na majirani. So naweza sema hamna ukomo.

Kuna mtu alikua anatafuta mke mwenye kigezo miaka 40 humu kama sikosei.

Jamii ndio inasumbua na kuletea watu stress za kuoa/kuolewa ndio maana mtu anaweza akakurupuka kwa mtu asiyefaa na akajuta.

Namjua mtu ameolewa at 44 na amepata first born wake at 45.

Ciao [emoji16]
 
kwanini ukashangaa sasa!!!
Nilishangaaa kwamba what kind of a man is he ?anayetaka kunioa whenever I'm ready pasipo hata kunifahamu kwa uchache?

Na before sijasema issue ya sex after marriage ,he was praising sex alafu booom anasema he can wait blabla he can marry me anytime!

Lazima ushangae how hana msimamo !
Na jinsi vijana walivyo wasumbufu wen it comes kuoa !
I said "I can't buy his blabla " he is after something !
After some days now I'm seeing him for who he really is"
 
Back
Top Bottom