Utamjuaje mwanaume ambaye tayari yuko kwenye ndoa ama mahusiano mengine?

Hamna mwanaume Apo dada angu,

Mwanaume mwenye miaka 30 afu bado Yuko nyumbani ana matatizo.

Tena sio matatizo TU, Bali matatizo makubwa.

VINGINEVYO,
unataka kuwasaidia wazazi wake kumlea akawe kibenten wako.
You are right
 
Aisee hamna kazi ngumu Kama kudanganya huna MKE kumbe unae.

Ile KERO iliwahi nifanya nikapanga chumba self special kwa ajili ya kazi za hivyo na kuweka full assets.

Baadae niliona upuuz,nkaachana na hiyo tabia.

chumba nkakabidhi, assets nkamuachia kijana wangu wa dukan.

Ujana maji ya Moto,
Tumepitia mengi Sana aisee[emoji4]

UMENIKUMBUSHA MBALI MKUU[emoji4]
Huu ujana ulikupeleka vibaya!pole
 
Nikijua ni mume wa MTU nitamuacha kwa sababu ninapenda nijipatie wa kwangu!

Ila kuhusiana na kuwasiliana yuko active sana kuchat asubuhi mpk muda ya SAA mbili anawahi kuaga

Na huyu kijana sijakuwa naye hata mwezi uishe ila matendo yake yananishtua
Mimi nitoe mawazo yangu tyu ...umesema hujamaliza nae mwezi...sasa kama MTU hata mwezi hujaishaa unafikirii mpk kuja kukutongoza wewe alikuwa single akisubirii upite akutongozee...tukiachana na wanaume walokole tuongelee wanaume wetu wa kileo...iko hivi asilimia 99.9 wanaume wanatongozaga huku wakiwa na mahusiano mengine yaani bado hajaachana na mpenzi wake ni wachache Sana ambao huwa wapo single...sasa Dada angu umetongozwa hata mwezi hujaishaa unataka uyo mwanaume awe serious na kukuoa huku unajua kwamba mara zote wanaume hutongozaa kwa mihemko na tamaa za ngono akitaka kukukula....kwanza hakuna huyo mwanaume umeonana nae Leo mwezi ujao ndoa utapigwaa ...ukionaa jitu limekazana na ndoa na kukutambulisha kila mahali ujue unazugwaa akukulee akuachee...ni wanaume wachache Sana wanafanya ivo kama wapo ni walokole basi au umkute alietokaa kuachikaa na mpnz wake aje afunge ndoa na wewe harakaharaka
Dada umekuwa na haraka Sana juu ya uyo mwanaume na unaonekana umezama tayari ndani ya mwezi mmoja , usipoangaliaa utaachwa muacho mmoja hutoka usahau. Ipo hivi mpe muda uyo mwanaume wako ndani ya miezi 6 ukiwa unamchunguza utamjua tu kama ni wa kuoa ama ni kicheche
Kuhusu mawasiliano kila MTU namna alivo kuchat Sana ama kuongea Sana sio kipimo cha kusema unapendwa ama hupendwi
Binti tulizana usipelekeshwe na mihemko acha kumsumbua huyo mwanaume muache akusumbue wewe amini kwamba Kama yuko serious ndani ya miezi 6 utaona
 
Uliona wapi mwanaume anachunguzwa?

Aya umechunguza ukagundua jamaa Yule pale kitandani anamtafuna mwanamke mwenzako,
Je, utapata ujasili wa kufumania?

Aya umefumania,

Swali litakuja,
Ulionaga wapi mwanamke akafumania?[emoji848]
Jamani naposema kuchunguza hasa ni je MTU hiyo unaeza ishi naye milele mkavumiliana matatizo yenu kwa pamoja??

Na lazima umchunguze what if mchawi?kiss ndoa?No uchunguzi ni lazima na choice ni must !
 
Mimi nitoe mawazo yangu tyu ...umesema hujamaliza nae mwezi...sasa kama MTU hata mwezi hujaishaa unafikirii mpk kuja kukutongoza wewe alikuwa single akisubirii upite akutongozee...tukiachana na wanaume walokole tuongelee wanaume wetu wa kileo...iko hivi asilimia 99.9 wanaume wanatongozaga huku wakiwa na mahusiano mengine yaani bado hajaachana na mpenzi wake ni wachache Sana ambao huwa wapo single...sasa Dada angu umetongozwa hata mwezi hujaishaa unataka uyo mwanaume awe serious na kukuoa huku unajua kwamba mara zote wanaume hutongozaa kwa mihemko na tamaa za ngono akitaka kukukula....kwanza hakuna huyo mwanaume umeonana nae Leo mwezi ujao ndoa utapigwaa ...ukionaa jitu limekazana na ndoa na kukutambulisha kila mahali ujue unazugwaa akukulee akuachee...ni wanaume wachache Sana wanafanya ivo kama wapo ni walokole basi au umkute alietokaa kuachikaa na mpnz wake aje afunge ndoa na wewe harakaharaka
Dada umekuwa na haraka Sana juu ya uyo mwanaume na unaonekana umezama tayari ndani ya mwezi mmoja , usipoangaliaa utaachwa muacho mmoja hutoka usahau. Ipo hivi mpe muda uyo mwanaume wako ndani ya miezi 6 ukiwa unamchunguza utamjua tu kama ni wa kuoa ama ni kicheche
Kuhusu mawasiliano kila MTU namna alivo kuchat Sana ama kuongea Sana sio kipimo cha kusema unapendwa ama hupendwi
Binti tulizana usipelekeshwe na mihemko acha kumsumbua huyo mwanaume muache akusumbue wewe amini kwamba Kama yuko serious ndani ya miezi 6 utaona
Ninashukuru kwa mchango wako nitaufanyia kazi!

Lkin huwezi kusubiri miezi sits yote ndiyo ujue MTU kama ameoa au lah!
Kuna vitu lazima uchunguze mwanzoni ili usije kuumia mwishoni!
"Kumbuka kulinda moyo wako kuliko vyote ulindavyo"
Na liwezekanalo kulijua Leo kwanini lisubiri kesho?
 
Sio kushinda mkichati ila ule muda mnaopata wa kuongea ndiyo anaonesha hayo mapungufu!
Hivi mnapataga wapi maneno ya kuongeaa kwenye simu mbona Mimi siwezii ukiona naongea basi ni issue sensitive kwanza sijiungagi dakika na sipokeiii simu kiufupii sipendii kuongea na masimu ..hamuogopii kugombanaa ama[emoji1787][emoji1787]
 
Yaaani this started tulipokubaliana no sex before marriage akasema it is OK!
Nikamuuliza are you sure mpk tuoane utakuwa muaminifu mbele ya Mungu ?
Akasema yes dear"unajua suala LA ndoa wewe utakaposema muda wowote tu mie Niko tayari Ee"
Ndio. Na mm nikaanza kushangaa pia
Mwezi hujaishaa na ukamuamini ...au ndo mwanaume wa kwanza kumpenda na kukutamkia ndoa[emoji3][emoji3] wiki hizoo tyu umekufaa ukaozaa
 
Kila mwanadamu ako na njia yake ya kuamini when it comes to love sipingani na hilo!

Wewe unamuamini mwandamu baada ya muda gani labda?
 
Ninashukuru kwa mchango wako nitaufanyia kazi!

Lkin huwezi kusubiri miezi sits yote ndiyo ujue MTU kama ameoa au lah!
Kuna vitu lazima uchunguze mwanzoni ili usije kuumia mwishoni!
"Kumbuka kulinda moyo wako kuliko vyote ulindavyo"
Na liwezekanalo kulijua Leo kwanini lisubiri kesho?
Ndo maana nimekwambia wewe ujipe muda wa miezi 6 ukiwa unamchunguzaa ...wanaume waigizajii hawatumii muda mrefu utajua yote yote usitake vitu vya mserereko sugua gaga hapo ujue mbivu na mbichi
 
Hivi mnapataga wapi maneno ya kuongeaa kwenye simu mbona Mimi siwezii ukiona naongea basi ni issue sensitive kwanza sijiungagi dakika na sipokeiii simu kiufupii sipendii kuongea na masimu ..hamuogopii kugombanaa ama[emoji1787][emoji1787]
Hakuna binadamu wanaoweza kuishi kwa muda mrefu pasipo kupishana kidogo!japo sio lazima kuhombana!

Na huwezi kukimbia matatizo unayasolve unayamaliza kabisa
 
Ndo maana nimekwambia wewe ujipe muda wa miezi 6 ukiwa unamchunguzaa ...wanaume waigizajii hawatumii muda mrefu utajua yote yote usitake vitu vya mserereko sugua gaga hapo ujue mbivu na mbichi
Ahsante ndugu
 
Kila mwanadamu ako na njia yake ya kuamini when it comes to love sipingani na hilo!

Wewe unamuamini mwandamu baada ya muda gani labda?
Hapo unatafuta MTU wa kukuoa na sio wa kumuaminii[emoji847][emoji847][emoji847].....tumia kanuni moja usijiekee matarajio yoyote kwenye hayo mahusiano waza neno hili kama ipo ipo kama haipo haipo...ila kiufupii navojua mie sasa hivi ni muda wako wa kudanganywaa kwaiyo utakubali mwenyewe ...usiamini maneno yake hata moja ila muoneshee kama unamuamini ....
 
Jamani naposema kuchunguza hasa ni je MTU hiyo unaeza ishi naye milele mkavumiliana matatizo yenu kwa pamoja??

Na lazima umchunguze what if mchawi?kiss ndoa?No uchunguzi ni lazima na choice ni must !
Huwezi mchunguza mwanadamu ukapata yote sasa jipe angalau miezi6 ujiridhishee tyu
 
Halo halooooo haloooooo madam ,eeh nakusikia ila mtandao unasumbua kidogo Mara cm inakata afu haipatikani tena
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kama sio muchumba wa mutu basi ni mume wa mutu uyoooooo
 
Ndo maana nimekwambia wewe ujipe muda wa miezi 6 ukiwa unamchunguzaa ...wanaume waigizajii hawatumii muda mrefu utajua yote yote usitake vitu vya mserereko sugua gaga hapo ujue mbivu na mbichi
Yaani si kwa mwanaume tu. Hata awe muongo vip mtu hawez kuficha uwongo kwenye hiyo span ya 6 month na kuendelea. Somehow someway vijitabia fulani vitaanza kuibuka taratib ndio utaanz akuona picha halisi ya mtu wako
 
Ahsante ndugu
Kikubwa usifunge mlango wa MTU mwingine kutaka kukuchumbia ukaonaa umepata kumbe apeche alolo kuna njia nyingi za kufanya ukiulizwa una MTU unasema sina Ila kwa sasa sipo tayari kwa mahusiano [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]ukwelii miezi 3 ya mwanzo wanakuwaga hawajaachana vizurii na wapenzi wao ni miezi ambayo ma ex wanarudii kuomba misamaha[emoji1787]
 
Kikubwa usifunge mlango wa MTU mwingine kutaka kukuchumbia ukaonaa umepata kumbe apeche alolo kuna njia nyingi za kufanya ukiulizwa una MTU unasema sina Ila kwa sasa sipo tayari kwa mahusiano [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahahaha
 
Back
Top Bottom