Niwaheri
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,994
- 4,729
Akili zenu mnazijua wenyeweHahahahah sie ni nani sasa[emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili zenu mnazijua wenyeweHahahahah sie ni nani sasa[emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] we peleleza ujue anapoishi bila yeye kujua Una mpelelezaNikimpigia usiku mm hapokei,anakaa kama DKK 10 afu ananipigia anadai yuko na mzazi ake ni mkali hawezi kuongea mbele yake!na hiyo kijana ana miaka 31
Sawa[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] we peleleza ujue anapoishi bila yeye kujua Una mpeleleza
Hayo majibu mbona kama ana takiwa haya jibu mtoto wakike lakin ana jibu mtoto wa kiume?Nikimpigia usiku mm hapokei,anakaa kama DKK 10 afu ananipigia anadai yuko na mzazi ake ni mkali hawezi kuongea mbele yake!na hiyo kijana ana miaka 31
Kama sioHalo halooooo haloooooo madam ,eeh nakusikia ila mtandao unasumbua kidogo Mara cm inakata afu haipatikani tena
Mbona vijana wa ki Zanzibar wanaishi nyumbani kwao tena Zaid ya miaka30, Yani Wana penda Bora wa mpagie Chumba mwanake yeye kijana wakiume aishi nyumbani kwa wazaz wake, kwaiyo huyo jamaa tusi mshagae ina wezakuwa ni kijana waki ZanzibarHamna mwanaume Apo dada angu,
Mwanaume mwenye miaka 30 afu bado Yuko nyumbani ana matatizo.
Tena sio matatizo TU, Bali matatizo makubwa.
VINGINEVYO,
unataka kuwasaidia wazazi wake kumlea akawe kibenten wako.
Ndo maana vijana wengi uko Zanzibar wanaongoza kwa kupakuliwa kisamvu Cha kopo.Mbona vijana wa ki Zanzibar wanaishi nyumbani kwao tena Zaid ya miaka30, Yani Wana penda Bora wa mpagie Chumba mwanake yeye kijana wakiume aishi nyumbani kwa wazaz wake, kwaiyo huyo jamaa tusi mshagae ina wezakuwa ni kijana waki Zanzibar
Umeshampa ile kitu?Nikijua ni mume wa MTU nitamuacha kwa sababu ninapenda nijipatie wa kwangu!
Ila kuhusiana na kuwasiliana yuko active sana kuchat asubuhi mpk muda ya SAA mbili anawahi kuaga
Na huyu kijana sijakuwa naye hata mwezi uishe ila matendo yake yananishtua
Yupo kwenye mahusiano na mrembo mwingine huyo! Kuwa mwangalifuNikimpigia usiku mm hapokei,anakaa kama DKK 10 afu ananipigia anadai yuko na mzazi ake ni mkali hawezi kuongea mbele yake!na hiyo kijana ana miaka 31
Nisamehe nitahama hapa nyumbani Ili upate Muda wa kuzungumza na Mimi mpaka kukuche.Yaaani ananikera sana bac tu
Ushawahi kumuonja au[emoji3]Mnaongea vipi, hakuna limitation ya kupiga kutuma msg n.k? Je unampata muda wowote unaomuhitaji au mpaka muweke ratiba? Mkikutana hua mnaspend usiku mzima au ni lazima arudi nyumbani akalale? Unaenda kwake utakavyo? Maongezi yake yako vipi ?
Kama yote hayo bado na unataka kujua basi jaribu
Kumpigia simu usiku uone kama atapokea na kama ukipokea je mtaongea kwa uhuru na kujiachia kama mnavyoongeaga muda mwingine,
Jaribu, kutaka kuspend nae usiku mzima au hata siku mbili mfululizo
Kama hujawahi fika kwake pambania uende
Ila ukijua ni mume wa mtu utamuacha?
Anyway mume wa mtu mtamu na mzuri ila raha awe amekuambia mwenyewe na umeridhia apo utaenjoy [emoji23]
Ushawahi kumuonja au[emoji3]
Siyo mzanzibariMbona vijana wa ki Zanzibar wanaishi nyumbani kwao tena Zaid ya miaka30, Yani Wana penda Bora wa mpagie Chumba mwanake yeye kijana wakiume aishi nyumbani kwa wazaz wake, kwaiyo huyo jamaa tusi mshagae ina wezakuwa ni kijana waki Zanzibar
HapanaUmeshampa ile kitu?
Ubarikiwe,umetia moyo sana ...thanksrelax marriage comes automatic usiwe desperate sana utaishia kuwa disapointed tu,wa kwako akija utajua tu He's the one
Umenena vyemaYupo kwenye mahusiano na mrembo mwingine huyo! Kuwa mwangalifu
Mkuu nadhani watu wengine walifukuzwa majumbani kwao...nani kasema?
Hahahahaha !Nisamehe nitahama hapa nyumbani Ili upate Muda wa kuzungumza na Mimi mpaka kukuche.
Mkuu wala usikariri maisha kuna watu wengine wameshazoea kukaa kwao maana wao ndo wanakua kama vichwa wa familia..baada ya either mzazi mmoja kufariki...Hapo ni kua anakuzunguka, Jaribu kutafakari kwa namna rahisi, Je ni sawa mtu wa umri huo kuwepo nyumbani kwao bado?? Je hata familia yao hawashtuki tu mtu yuko kwenye miaka ya 30 na hajaoa wala hana mtu!!!
Mwambie akutambulishe kwao kama hataki ama anazunguka jua hana nia na wewe mama, tafuta nguvu ya kukimbia ulipo kabla hujaliwa kichwa