copernicucci98
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 1,232
- 2,362
FBI wa mahusiano๐๐๐๐๐๐๐๐๐Enjoy love n sex as it lasts! Maswala ya kujifanya FBI kwenye mahusiano hutakaa ufurahie wala!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
FBI wa mahusiano๐๐๐๐๐๐๐๐๐Enjoy love n sex as it lasts! Maswala ya kujifanya FBI kwenye mahusiano hutakaa ufurahie wala!
Hahahahahah huyo mayai yake ni extravagant๐Not real. Tunao watu kwenye familia, marafiki, jamaa na majirani. So naweza sema hamna ukomo.
Kuna mtu alikua anatafuta mke mwenye kigezo miaka 40 humu kama sikosei.
Jamii ndio inasumbua na kuletea watu stress za kuoa/kuolewa ndio maana mtu anaweza akakurupuka kwa mtu asiyefaa na akajuta.
Namjua mtu ameolewa at 44 na amepata first born wake at 45.
Ciao [emoji16]
Jiongopee tuImani can do wonders!
Mjomba umenikumbusha matukio yangu!! FBI alishawahi kunisaka, alisahau kama mimi ni MOSSAD-- Sema akanidaka mwaka wa 5!Enjoy love n sex as it lasts! Maswala ya kujifanya FBI kwenye mahusiano hutakaa ufurahie wala!
Kama upo tayari kukiwa papuchi , mwambie nataka kuja kwako , full stop utajua kila kituSikuhizi imekuwa vigumu sana kumtambua mwanaume ambaye tayari ameshaoa!
Kwa uzoefu wako mdau,naomba mnisaidie Niko matatani!
Nitamtofautisha vipi ambaye ameoa na ambaye sie ilihali sikai eneo LA karibu na anadai kunipenda?
It is fine kujiongopea sometimes ! Try it more often it reduce stress coz mambo mengine are out of our control!Jiongopee tu
WiseIt is fine kujiongopea sometimes ! Try it more often it reduce stress coz mambo mengine are out of our control!
You just surrender najiongopee kama unavoita
Na moto lazma uliwaka sana๐Mjomba umenikumbusha matukio yangu!! FBI alishawahi kunisaka, alisahau kama mimi ni MOSSAD-- Sema akanidaka mwaka wa 5!
I guess sometimes Mungu hujitwalia utukufu katika nyakati za udhaifu wetu!Not real. Tunao watu kwenye familia, marafiki, jamaa na majirani. So naweza sema hamna ukomo.
Kuna mtu alikua anatafuta mke mwenye kigezo miaka 40 humu kama sikosei.
Jamii ndio inasumbua na kuletea watu stress za kuoa/kuolewa ndio maana mtu anaweza akakurupuka kwa mtu asiyefaa na akajuta.
Namjua mtu ameolewa at 44 na amepata first born wake at 45.
Ciao [emoji16]
Ila mpe tu papuchi usimbanie kwani shingapi?Umenena vyema
Sasa hii imetokea wapi tena?Ila mpe tu papuchi usimbanie kwani shingapi?
Palichimbika hatari!! Ilibidi nitumie technique ya kulia.. Nikahamisha agenda toka kutumia akili hadi kutumia moyo.. From conscience to emotions!! Kwisha habari!Na moto lazma uliwaka sana๐
Hahahahahah shetani lazima alibeba lawama tu๐Palichimbika hatari!! Ilibidi nitumie technique ya kulia.. Nikahamisha agenda toka kutumia akili hadi kutumia moyo.. From conscience to emotions!! Kwisha habari!
AhahahahahHahahahahah shetani lazima alibeba lawama tu๐
Najiuliza in future mtt wako akikutana na more than this na ukajua sijui utajisikiaje?Palichimbika hatari!! Ilibidi nitumie technique ya kulia.. Nikahamisha agenda toka kutumia akili hadi kutumia moyo.. From conscience to emotions!! Kwisha habari!
Whats your point? Lwamba wewe usipocheat ndo hawatomcheat mwanao? Laws of nature doesn't work that way mjomba/shangazi---Najiuliza in future mtt wako akikutana na more than this na ukajua sijui utajisikiaje?
HahhahahahahaBora usimpigie simu usiku asije akafukuzwa kwao mkuu. [emoji38][emoji38]
Nakazia,kijana asiye na Mke atakulala na kukubebesha mimba mwisho wa siku anakutelekeza,Anakuacha upambane na mimba Yako pekee Yako.Wewe usijifanye unatafuta wa kwako hutampata, mkubalie huyo akivushe kiuchumi baadaye mzae maisha yasonge hawa vijana ndio hawaeleweki kabisa utampa tunda kisha anakumwaga tena ukicheza atakuzalilisha
SorryWhats your point? Lwamba wewe usipocheat ndo hawatomcheat mwanao? Laws of nature doesn't work that way mjomba/shangazi---
Kila mtu acheze mechi zake!
Kwa faida yako tu...Sasa Mvumilie mpe chance wadada wengi mnafeli hamtaki vikao vya kibunge vya kujuana na agenda critical kbsa. Mpigie simu mwambie baby sikia sina muda wa kupoteza wewe unademu ghetto au ni umeoa uko na mke nahitaji kikao na wewe ili nikuache citaki mizinguo. Sisi wanaume macho na nafsi husisimka haijalishi umeoa una demu macho tuliumbiwa na mlipuko na cisi tuna hisia za kuona muda wote sema tunazuga tu. Kuogopa udwanzi kwenye brand zetu.
Unadhani uthubutu wa kumla demu na shosti wake, shosti Zake, dada Au dogo ake unatoka wapi, macho yetu yana mlegezo muda wote!
Beware use brain.
Romanticism ikitangulia huzaa shida hasa hizi artificial. Fantancy haijawahi kushindwa.