Utamjuaje mwanaume ambaye tayari yuko kwenye ndoa ama mahusiano mengine?

Techniques hapo haina haja kwa sababu mie ni expert wa hizo shughuli hapo kuna yafuatayo!

1.Jamaa anaishi na demu wake wa malengo na muda ambao anarudi home ni kuanzia saa 2. So lazma akupange ili usipige simu.

2.Jamaa ana mke ambaye tayari wamefunga ndoa so muda ambao unataka kumpigia simu akiwa na mkewe hawezi pokea on the spot. Siku mkewe akiwa hayupo ndio ataongea na wewe free hadi utashangaa!

3. Hawezi kulala kwako overnight au sleepovers zile. Lazma arudi kwake yani by any means [emoji28]

4.Kufika kwake sahau yani labda siku mkewe akiwa hayupo kasafiri [emoji23] na huwezi ruhusiwa kwenda kwenda hovyo!

NB: Maisha hayo magumu sana yani niliwahi kuyaishi na manz mmoja alikuwa ananibana kweli nimpeleke kwangu kwa kweli ilikuwaga shughuli yani anaboreka kwanini namkazia kumpeleka kwangu[emoji28] kumbe kule kuna mke mwenzie dah[emoji23][emoji23][emoji23] ujana maji ya moto sikuhizi tumekuwa lakini!
Umekuwa wapi wewe
 
labda watake wenyewe ujue. Or by divine intervention.

usijidanganye muda anaokupa whether night or day kwamba hana mtu wake.

Ishi nae vizuri tu ili hata akija kukupiga tukio asitumie missile kubwa sana.
 
Ukisikia mtu anakuambia atakuoa siku ya kwanza huyo ni tapeli kimbia mpk uvunjike mguu.Ni urafiki kwanza baadae inakuwa uchumba na mwisho kabisa ni ndoa au kuishi pamoja kama wanandoa
Inategemeana.Kwa mfano mie mke wangu niliye nae siku ya kwanza tu nilijisemea moyoni na yeye nikamwambia hakika NITAKUOA,na kweli ikawa hivyo.
 
Techniques hapo haina haja kwa sababu mie ni expert wa hizo shughuli hapo kuna yafuatayo!

1.Jamaa anaishi na demu wake wa malengo na muda ambao anarudi home ni kuanzia saa 2. So lazma akupange ili usipige simu.

2.Jamaa ana mke ambaye tayari wamefunga ndoa so muda ambao unataka kumpigia simu akiwa na mkewe hawezi pokea on the spot. Siku mkewe akiwa hayupo ndio ataongea na wewe free hadi utashangaa!

3. Hawezi kulala kwako overnight au sleepovers zile. Lazma arudi kwake yani by any means [emoji28]

4.Kufika kwake sahau yani labda siku mkewe akiwa hayupo kasafiri [emoji23] na huwezi ruhusiwa kwenda kwenda hovyo!

NB: Maisha hayo magumu sana yani niliwahi kuyaishi na manz mmoja alikuwa ananibana kweli nimpeleke kwangu kwa kweli ilikuwaga shughuli yani anaboreka kwanini namkazia kumpeleka kwangu[emoji28] kumbe kule kuna mke mwenzie dah[emoji23][emoji23][emoji23] ujana maji ya moto sikuhizi tumekuwa lakini!
Mateso yote ya nini? Mie mshipa ukinyanyua boxer/suruali natafuta ninayeona anafaa napiga mti na kumwambia kwaheri.

Sijengi stigler's gorge au sgr.
 
Heheheeee....Umenikumbusha mbaaaali saaaana. Kuna jamaaa alishawahi kunifanyia huu mchezo unaofanyiwa wewe hivi sasa.

Saivi nikikumbuka huwa naishia kucheka tuu...nawaza hivi nilikuwaje mjinga hata sikumgundua mapema...Ila ndio maisha...Kila siku ni kujifunza.
Na ulitanua miguu nyuzi 90 au dog style??
 
Back
Top Bottom