Ulichoandika hata mimi nakiona kwa Bidada umri wake ni Between 28 up 29 atumie akili zake vizuri huku akimshirikisha Mungu, ingawa alichelewa, na awe makini kama ataanzisha uhusiano na mwingne asionyeshe uharaka wa Ndoa
Maana atam impress anaetaka kumuoa na kumchungza zaidi
Na huko ndiko kuzidi kupoteza muda,
Kwa Umri wake awe makini sana anaweza kujikuta akiangukia kwenye mahusiano mseto kwa wale vijana wenye Watoto huko na wameachana na wapenzi wao. Akili za Mungu na NEEMA yake ipitayo yote imsaidie. Hiyo statuation aliyo nayo huyo bidada inatesa haswa