Utamjuaje mwanaume ambaye tayari yuko kwenye ndoa ama mahusiano mengine?

Utamjuaje mwanaume ambaye tayari yuko kwenye ndoa ama mahusiano mengine?

Khaa umeua kambi ya ADF Mkuu, ila pia kuna wapigaji gentle wanawavutia kasi badae wanakula kisa hawakuwa na mchecheto wa striking. Hakunaga uniformity

Na hii ndo mbinu kubwa ya wanaume tuliooa[emoji23][emoji23][emoji23]

Huyu dada inabidi ajue kuna tabia za kiume na kama hizo tabia hazioni kwa mwanaume ajue kbs kuna vitu anafichwa.

Mtu anakwambia hata kesho naweza kukuoa halafu huyo huyo eti sex after marriage ni sawa.Huu ni uongo
 
Yaaani this started tulipokubaliana no sex before marriage akasema it is OK!
Nikamuuliza are you sure mpk tuoane utakuwa muaminifu mbele ya Mungu ?
Akasema yes dear"unajua suala LA ndoa wewe utakaposema muda wowote tu mie Niko tayari Ee"
Ndio. Na mm nikaanza kushangaa pia
Mwanamke wa kuliwa habishiwi after that kama unaliwa na wengine wakati huo unapendekeza abstain muda utaongea na bikra huliwa kigentle tu kama hivo.
 
Nikijua ni mume wa MTU nitamuacha kwa sababu ninapenda nijipatie wa kwangu!

Ila kuhusiana na kuwasiliana yuko active sana kuchat asubuhi mpk muda ya SAA mbili anawahi kuaga

Na huyu kijana sijakuwa naye hata mwezi uishe ila matendo yake yananishtua
Ni mume wa mtu huyo dear huyo mama anaezungumzia Ni mkewe. Kwakuea penzi Ni changa kwako ndo maana ukipiga hapokei Ila anatafuta mazingira ya kukupiga baadae. Lakini penzi likisha chakaa hakuna rangi utaacha kuona. So watch out
 
Si namie nashangaaa hatujawahi kugombana afu yaaani anaongea mambo mengi which are too good to be true!

"Ety baby mie nakusikiliza wewe tu ukitaka ndoa hata kesho tu " mtu kweli hata hatujamaliza muda tufahamiane vizuri?
Mwanaa yuko vizuri sana Mwanamke mkubalie kila kitu ndio utajua unajua na msifie tu. Next episode.....
 
Inategemea na malengo yako!

Mimi sihitaji mwanaume for enjoyment tu ,hapana ....
Hii isikutawale Sana itakutesa mno unaweza anzisha mahusiano na mtu ukahisi Ni muoaji kumbe mwongo, jambazi kuu la mapenzi,muhujumu wa mapenzi. Tulia mshirikishe Mungu usitumie akili zako muda sahihi ukifika bas utapata mwenza lakini sio kuforce utakuja kuangukia pua.

Kuwa na late 20z kusikuumize kichwa after all Kuna watu wanaolewa Hadi na 35 na maisha yanaendelea
 
Heheheeee....Umenikumbusha mbaaaali saaaana. Kuna jamaaa alishawahi kunifanyia huu mchezo unaofanyiwa wewe hivi sasa.

Saivi nikikumbuka huwa naishia kucheka tuu...nawaza hivi nilikuwaje mjinga hata sikumgundua mapema...Ila ndio maisha...Kila siku ni kujifunza.
Daah yeleewii
 
Na hii ndo mbinu kubwa ya wanaume tuliooa[emoji23][emoji23][emoji23]

Huyu dada inabidi ajue kuna tabia za kiume na kama hizo tabia hazioni kwa mwanaume ajue kbs kuna vitu anafichwa.

Mtu anakwambia hata kesho naweza kukuoa halafu huyo huyo eti sex after marriage ni sawa.Huu ni uongo
Hii ndio dawa ya kumtoa Nyoka relini, Mwanamke anapenda kusikia na anafurahia et kisha baadae ndio anatafakari kuhusu ukweli au uongo!!

Maneno ya ukweli yanapuuzwa sana na mademu.
 
Wewe uwe unapenda kuongea naye usiku kwenye simu .,

Utaona anakupa ratiba kibaooo

Lkn kwann akufiche?? Mimi nikitaka mwanamke, namwambia tu, aisee nmekuelewa ila Nina familia, tunaweza Kulana ??

Na mwitikio unakua mzuri tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kwamba nataka mechi ya ugenini, ingawa tayari una point mkononi
 
Nikimpigia usiku mm hapokei,anakaa kama DKK 10 afu ananipigia anadai yuko na mzazi ake ni mkali hawezi kuongea mbele yake!na hiyo kijana ana miaka 31
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kongole kwake baharia.
 
Hii isikutawale Sana itakutesa mno unaweza anzisha mahusiano na mtu ukahisi Ni muoaji kumbe mwongo, jambazi kuu la mapenzi,muhujumu wa mapenzi. Tulia mshirikishe Mungu usitumie akili zako muda sahihi ukifika bas utapata mwenza lakini sio kuforce utakuja kuangukia pua.

Kuwa na late 20z kusikuumize kichwa after all Kuna watu wanaolewa Hadi na 35 na maisha yanaendelea
Ahsanteee
 
Hivi kweli mwanamke anashindwa kujua mwanaume ambaye ameoa?
Yaani hata kama mwanaume hajaoa lakini ana mpenzi rasmi mwingine bado ni jambo rahisi sana kujua.
Mwanaume anaweza kujaribu kuficha kwa gharama zote, lakini mwanamke akitulia na kujipa muda atagundua tu.

Hata kinyonga anayo rangi yake rasmi ya asili pamoja na kuwa na uwezo wa kujibadili rangi kila wakati. Ukitulia na kujipa muda kumtazama utaigundua.
Namshangaa huyu member maenzetu tena wanawake wanajua sana Kufanya Survey kuliko sisi wanaume!
 
Back
Top Bottom