Una haraka sana ya ndoa? Kama hapana basi hebu tulia. Si mtakua mnatoka hata weekend? Angalia anavyopokea simu zake, na kamwe usionyeshe kumhofia Wala kumchunguza.
Wanaume hatuwezi kudanganya kwa muda mrefu, get to know his friends, ndugu at least wawili watatu..... Fahamu kazini kwake.
Ila kwa mtazamo wangu kutokana na posts/reply zako hapa nimegundua mambo mawili kwako na kwake.
A. Kwako: Uko unapenda ndoa sana sana na hutaki relationship ya kawaida tu, ndio maana akasema "kama unataka ndoa Niko tayari hata kesho". Haya maneno Yana maana kubwa sana na hayakutoka kwa bahati mbaya.
B: Kwa Mtuhumiwa: Ni mtu na family yake ndio maana ukipiga usiku hapokei then baada ya muda anapokea, yaani anatoka nje anaenda kuongelea nje huko mbali Ili asisikike. Hakuna namna Wazazi wa Leo hii wawe wakali kwa kijana wao wa miaka 31 kuongea na simu, hakuna. Yaani saa mbili usiku au saa tatu Yuko na Wazazi wake.....na wewe ukakubali na kuamini!
Ya kwangu ni hayo tu, mengine sitayasema ila niliwahi kufanya hivyo pia. Baadae nikaona ujinga! I'm