Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Huwa tunajua ku-care sana, tunajua Kila kitu na huwa tuna kaustaarabu flani hivi amazing. Yaani unajikuta unapendwa Hadi unashangaaSikuhizi imekuwa vigumu sana kumtambua mwanaume ambaye tayari ameshaoa!
Kwa uzoefu wako mdau,naomba mnisaidie Niko matatani!
Nitamtofautisha vipi ambaye ameoa na ambaye sie ilihali sikai eneo LA karibu na anadai kunipenda ?