Utamjuaje mwanaume ambaye tayari yuko kwenye ndoa ama mahusiano mengine?

Utamjuaje mwanaume ambaye tayari yuko kwenye ndoa ama mahusiano mengine?

Tumsaidie huyu mdada niseme machache ngoja nipunguze utani sisi wanaume pia tuna haki ya kuwa sampuli kadhaa kuelekea kuoa yawezekana huyo mwingine yuko kwenye harakati za kumuacha, pia hata wakiwa wote badae atachagua yeye, Kila mmoja wetu swali Je, mahusiano unayaanzaje?unayaishije?unapendea nini? Na hupendi kipi?unaamini kwenye nini kama sehemu ya uongo au ukweli?
Kuna kwa haja ama kiu tu, kwa mpito, muda mrefu, mauziano, mdanganyo square n.k

Kwa nini yuko nae? Unamtazama kwa ukusudi wa maana mbele za Mungu?Au kwa ukusudi wa shetani kwa faida yako tu? Hata wake za watu nao wanaomba Mungu. Aangalie yuko upande upi wa kiroho.
He approached me na anadai he loves me na mpk habari ya sex we agreed mpk ndoa ndio tutafanya na hakuwa na issue kuhusiana na hilo ila matendo yake ndio hayaeleweki
 
Hivi kweli mwanamke anashindwa kujua mwanaume ambaye ameoa?
Yaani hata kama mwanaume hajaoa lakini ana mpenzi rasmi mwingine bado ni jambo rahisi sana kujua.
Mwanaume anaweza kujaribu kuficha kwa gharama zote, lakini mwanamke akitulia na kujipa muda atagundua tu.

Hata kinyonga anayo rangi yake rasmi ya asili pamoja na kuwa na uwezo wa kujibadili rangi kila wakati. Ukitulia na kujipa muda kumtazama utaigundua.
 
Nikijua ni mume wa MTU nitamuacha kwa sababu ninapenda nijipatie wa kwangu!

Ila kuhusiana na kuwasiliana yuko active sana kuchat asubuhi mpk muda ya SAA mbili anawahi kuaga

Na huyu kijana sijakuwa naye hata mwezi uishe ila matendo yake yananishtua
Mwenzio kama ana kazi ujue mchana anachoka hivi wadada mnatakaga mtu mkeshe mnachat ili iwejee????
 
Siyo kwa kizazi cha Leo.
Hata Mungu anasema anapendezwa na watakatifu wake waliopo duniani!which means muda ule unaofikiria ya kuwa haiwezekani kutenda yampendezayo Mungu kuna wengine wanaweza!

Hata darasani muda unaolalamika mtihani mgumu na unafeli kuna mwenzio anapata 100%

So sio mwanaume au wanawake wote wameharibika dear!
 
Una haraka sana ya ndoa? Kama hapana basi hebu tulia. Si mtakua mnatoka hata weekend? Angalia anavyopokea simu zake, na kamwe usionyeshe kumhofia Wala kumchunguza.

Wanaume hatuwezi kudanganya kwa muda mrefu, get to know his friends, ndugu at least wawili watatu..... Fahamu kazini kwake.

Ila kwa mtazamo wangu kutokana na posts/reply zako hapa nimegundua mambo mawili kwako na kwake.

A. Kwako: Uko unapenda ndoa sana sana na hutaki relationship ya kawaida tu, ndio maana akasema "kama unataka ndoa Niko tayari hata kesho". Haya maneno Yana maana kubwa sana na hayakutoka kwa bahati mbaya.

B: Kwa Mtuhumiwa: Ni mtu na family yake ndio maana ukipiga usiku hapokei then baada ya muda anapokea, yaani anatoka nje anaenda kuongelea nje huko mbali Ili asisikike. Hakuna namna Wazazi wa Leo hii wawe wakali kwa kijana wao wa miaka 31 kuongea na simu, hakuna. Yaani saa mbili usiku au saa tatu Yuko na Wazazi wake.....na wewe ukakubali na kuamini!

Ya kwangu ni hayo tu, mengine sitayasema ila niliwahi kufanya hivyo pia. Baadae nikaona ujinga! I'm
 
Hivi kweli mwanamke anashindwa kujua mwanaume ambaye ameoa?
Yaani hata kama mwanaume hajaoa lakini ana mpenzi rasmi mwingine bado ni jambo rahisi sana kujua.
Mwanaume anaweza kujaribu kuficha kwa gharama zote, lakini mwanamke akitulia na kujipa muda atagundua tu.

Hata kinyonga anayo rangi yake rasmi ya asili pamoja na kuwa na uwezo wa kujibadili rangi kila wakati. Ukitulia na kujipa muda kumtazama utaigundua.
Ni kweli time is everything
 
Tumsaidie huyu mdada niseme machache ngoja nipunguze utani sisi wanaume pia tuna haki ya kuwa sampuli kadhaa kuelekea kuoa yawezekana huyo mwingine yuko kwenye harakati za kumuacha, pia hata wakiwa wote badae atachagua yeye, Kila mmoja wetu swali Je, mahusiano unayaanzaje?unayaishije?unapendea nini? Na hupendi kipi?unaamini kwenye nini kama sehemu ya uongo au ukweli?
Kuna kwa haja ama kiu tu, kwa mpito, muda mrefu, mauziano, mdanganyo square n.k

Kwa nini yuko nae? Unamtazama kwa ukusudi wa maana mbele za Mungu?Au kwa ukusudi wa shetani kwa faida yako tu? Hata wake za watu nao wanaomba Mungu. Aangalie yuko upande upi wa kiroho.
Ofcourse kuwa na multiple partners inatokeaga at times unatafta mwenza sahihi sio kosa. Unaweza kuwa nao ili kupata picha halisi ya nani madhaifu yake unaweza kuyabeba ila sasa itategemea na intention zao hao watu wako.

Huyu mtoa mada yeye yupo kwenye deadline sikazi ana miaka 29 sasa so anatafta mtu wa kumuoa immediately ndio yamkini ana wasiwasi. Ila kwa sisi wanaume unaweza kuwa huna mpango huo ndio shida inapoanzia hapo. Hata aongee na mungu au vipi hana guarantee kuwa mjuba yupo nae serious!
 
Back
Top Bottom