Ofcourse kuwa na multiple partners inatokeaga at times unatafta mwenza sahihi sio kosa. Unaweza kuwa nao ili kupata picha halisi ya nani madhaifu yake unaweza kuyabeba ila sasa itategemea na intention zao hao watu wako.
Huyu mtoa mada yeye yupo kwenye deadline sikazi ana miaka 29 sasa so anatafta mtu wa kumuoa immediately ndio yamkini ana wasiwasi. Ila kwa sisi wanaume unaweza kuwa huna mpango huo ndio shida inapoanzia hapo. Hata aongee na mungu au vipi hana guarantee kuwa mjuba yupo nae serious!