Utamjuaje mwanaume ambaye tayari yuko kwenye ndoa ama mahusiano mengine?

Utamjuaje mwanaume ambaye tayari yuko kwenye ndoa ama mahusiano mengine?

Heheheeee....Umenikumbusha mbaaaali saaaana. Kuna jamaaa alishawahi kunifanyia huu mchezo unaofanyiwa wewe hivi sasa.

Saivi nikikumbuka huwa naishia kucheka tuu...nawaza hivi nilikuwaje mjinga hata sikumgundua mapema...Ila ndio maisha...Kila siku ni kujifunza.
 
Sikuhizi imekuwa vigumu sana kumtambua mwanaume ambaye tayari ameshaoa!

Kwa uzoefu wako mdau,naomba mnisaidie Niko matatani!
Nitamtofautisha vipi ambaye ameoa na ambaye sie ilihali sikai eneo LA karibu na anadai kunipenda ?
Wewe usijifanye unatafuta wa kwako hutampata, mkubalie huyo akivushe kiuchumi baadaye mzae maisha yasonge hawa vijana ndio hawaeleweki kabisa utampa tunda kisha anakumwaga tena ukicheza atakuzalilisha
 
Nikijua ni mume wa MTU nitamuacha kwa sababu ninapenda nijipatie wa kwangu!

Ila kuhusiana na kuwasiliana yuko active sana kuchat asubuhi mpk muda ya SAA mbili anawahi kuaga

Na huyu kijana sijakuwa naye hata mwezi uishe ila matendo yake yananishtua
Hakuna mume wa mtu .mume wa mtu hajazaliwa bado kuna Mume wetuuuuuuu.
 
Mnaongea vipi, hakuna limitation ya kupiga kutuma msg n.k? Je unampata muda wowote unaomuhitaji au mpaka muweke ratiba? Mkikutana hua mnaspend usiku mzima au ni lazima arudi nyumbani akalale? Unaenda kwake utakavyo? Maongezi yake yako vipi ?

Kama yote hayo bado na unataka kujua basi jaribu
Kumpigia simu usiku uone kama atapokea na kama ukipokea je mtaongea kwa uhuru na kujiachia kama mnavyoongeaga muda mwingine,

Jaribu, kutaka kuspend nae usiku mzima au hata siku mbili mfululizo

Kama hujawahi fika kwake pambania uende

Ila ukijua ni mume wa mtu utamuacha?

Anyway mume wa mtu mtamu na mzuri ila raha awe amekuambia mwenyewe na umeridhia apo utaenjoy [emoji23]
Daah angalau wewe umembeba mwamba hapo mwishoni, huo uzoefu wako ni kiboko! Kuna kupanga ghetto vilevile Au niko ghetto Dodoma nimeoa mke yuko dsm ndio mtajua shoo ni shoo angalia mtu sio kabati lake, niko sinza na wife niko na ghetto kigamboni, ! Heeheeeiaa, 'Dadadadadae!!! Kolikoli kokorikooo!!!
 
Ahsante eee,au ndio maaana nikimpigia muda mingine anaongea kwa nguvu kama hanisikii afu ananiita madam
Baharia yuko vizuri halafu kakutana na underground mwenye kitochi, daah...oyooo...et.ananiita madam!!! Anakupenda hadi status ya madam!!! Huyu huwa anapokea hata akiwa na mkewe tatizo maudhui kabla hajavesha kanzu kwako anaanza na wyfoo...his wyfoo...halooo...halooo...anavuta gepu na kuikata kwa kujipanga zaidi kama Locus ya form2 niliisoma hata baada ya kuambiwa imefutwa niliisoma nikaiva. Tuendelee na hatua ya mtoano
 
Heheheeee....Umenikumbusha mbaaaali saaaana. Kuna jamaaa alishawahi kunifanyia huu mchezo unaofanyiwa wewe hivi sasa.

Saivi nikikumbuka huwa naishia kucheka tuu...nawaza hivi nilikuwaje mjinga hata sikumgundua mapema...Ila ndio maisha...Kila siku ni kujifunza.
Yaaani
 
Yaaani ananikera sana bac tu
Hapo ni kua anakuzunguka, Jaribu kutafakari kwa namna rahisi, Je ni sawa mtu wa umri huo kuwepo nyumbani kwao bado?? Je hata familia yao hawashtuki tu mtu yuko kwenye miaka ya 30 na hajaoa wala hana mtu!!!

Mwambie akutambulishe kwao kama hataki ama anazunguka jua hana nia na wewe mama, tafuta nguvu ya kukimbia ulipo kabla hujaliwa kichwa
 
Back
Top Bottom